Mchumba wa kiume aliyeokoka anahitajika

Hebu njoo Pm nikushauli yawezekana hujui!
 
Umeshamaliza kuonja kila aina ya asali......na sasa unataka mwanaume ambaye ni mcha mungu........hahahahaha umepoteaa ww......katafute haohao waliobobea kwenye kuchovya asali ila kumpata mlokole huwez kumpata kamwee
 
Umeshamaliza kuonja kila aina ya asali......na sasa unataka mwanaume ambaye ni mcha mungu........hahahahaha umepoteaa ww......katafute haohao waliobobea kwenye kuchovya asali ila kumpata mlokole huwez kumpata kamwee

Mithali 12:15
 
My dear sister...Kuwa makini....mume wa sifa tajwa hapo juu utampata katika jamii yako..wapo wengi...muhimu kama unapenda mme mwema anza kuwa mwema kwanza..Mpe Yesu Maisha Yako sio kwa ajili ya mume...but ni kwa ajili ya maisha yako ya kimwili na kiroho...kuwa active katika makongamano ya vijana na kumtumikia Mungu but sio kwa lengo la kupata mume No...Ila kama wajibu wa mkristo wa kweli...ukiwa na kampani hiyo na ukizungukwa na watu wema automatic utakuwa na large selection ya mume mwema...But bila kusahau Maombi na kumuomba Mungu akupe kibali cha Ester....soma kitabu cha Esther na Mfanye awe role model wako...Esther hakupata mume kwa mapambo..urembo....n.k...but Mungu alimpa kibali mbele ya mfalme...naongea haya coz wanawake wengi tunajidanganya kuvaa mavazi ya kikahaba...nywele bambucha....n.k mwanamke wa dizain hiyo hawezi tongozwa na mwanaume mwema...automatic atapata wa dizain yake...but ukijitunza na kujistili kwa mavazi ya adabu na heshima basi ina chance kubwa sana ya kumpata Mume mwema


Nikutakie kila la kheri my sis....

Sent from my GT-I9082 using JamiiForums mobile app
 
Asante
 
Best of luck.. unatafuta aliyeokoka naamini na wewe umeokoka pia. Kama umeokoka kupata mtu si shida,tunaamini Roho Mtakatifu anatuongoza vyema,hivyo atakuongoza vyema katika kuchagua chaguo sahihi.
Ubarikiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…