Habari Za Leo Wana Jf. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema . Sifa za mchumba ni:
1) Mkristo lakini asiwe wa jina , awe mcha Mungu na mwenye Hofu ya Mungu. ( Mlokole )
2)Awe na miaka kuanzia 35-40 na aliye single.
3)Awe na watoto wasiozidi wawili tuu.
4) Mwenye kazi na miradi yake halali inayoingiza kipato tafadhali.
5) Asiwe na dramas na mzazi mwenzie. Akiwa mjane itakuwa sawa pia. Awe ameshamaliza ujana wake .Sihitaji players nimewachoka maana wamenipotezea muda wangu na mengineyo mengi tuu.
6) Awe tayari kupima Afya
7)Awe mkubwa wa familia , atakayeoongoza familia katika misingi ya Yesu Kristo. Asiwe mmnywaji Pombe wala mvuta sigara .
8)Awe na upendo wa kweli kwa familia zote mbili .
Jamani naomba tuelewane kuwa siko hapa kucheza niko serious . Sitaki kuchezewa akili na kupotezewa Muda nimeezeka ambako siko baada ya wao kufanikiwa kimaisha wakaanza viburi na dharau, kama unajiona hauko tayari naomba usinitafute .Kama uko serious naomba tuwasiliane . Kwa walio nnchi za Nnje tafadhali karibuni sana . Naweza kuwa na mahusiano ya mbali nilishawahi kufanya hivyo na haikunisumbua Mimi. Niko tayari kujibu kuhusu Mimi PM kwa walio serious na wenye nia ya kweli tuu . Asante nashukuru Sana na Mungu awabariki. Asante!
dotokulwa11@gmail.com