Mchumba wa kuoa unampata wapi hasa?

Mchumba wa kuoa unampata wapi hasa?

trojan92

Member
Joined
May 18, 2024
Posts
91
Reaction score
276
Wadau mimi nina swali hapa. Wapi ni sehemu sahihi haswa ya kukutana na mchumba wa kuoa?
Wengi wanasema sehemu ya ibada, je nyie wana jamii Forum mwaona wapi ni pazuri kukutana na mchumba wa kuanza nae mahusiano na baadae ndoa?
 
Back
Top Bottom