trojan92 Member Joined May 18, 2024 Posts 91 Reaction score 276 Sep 1, 2024 #1 Wadau mimi nina swali hapa. Wapi ni sehemu sahihi haswa ya kukutana na mchumba wa kuoa? Wengi wanasema sehemu ya ibada, je nyie wana jamii Forum mwaona wapi ni pazuri kukutana na mchumba wa kuanza nae mahusiano na baadae ndoa?
Wadau mimi nina swali hapa. Wapi ni sehemu sahihi haswa ya kukutana na mchumba wa kuoa? Wengi wanasema sehemu ya ibada, je nyie wana jamii Forum mwaona wapi ni pazuri kukutana na mchumba wa kuanza nae mahusiano na baadae ndoa?
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Sep 1, 2024 #2 Haitabiriki weka tangazo hata humu utampata,ni kama kubeti tu popote unaweza kumpata!.
Mama Mwana JF-Expert Member Joined Jun 6, 2023 Posts 2,435 Reaction score 7,784 Sep 1, 2024 #3 popote pale hata kituo cha polisi
Gentlemen_ JF-Expert Member Joined Nov 24, 2019 Posts 4,431 Reaction score 13,876 Sep 1, 2024 #4 Inategemea unamtaka wa aina gani.. Kama wa Kishua huwez kukutana nae BUZA kwa Lulenge.. labda kama kaenda msibani.
Inategemea unamtaka wa aina gani.. Kama wa Kishua huwez kukutana nae BUZA kwa Lulenge.. labda kama kaenda msibani.
The Icebreaker JF-Expert Member Joined Feb 11, 2018 Posts 22,278 Reaction score 65,817 Sep 1, 2024 #5 Gentlemen_ said: Inategemea unamtaka wa aina gani.. Kama wa Kishua huwez kukutana nae BUZA kwa Lulenge.. labda kama kaenda msibani. Click to expand... Uzi uishie hapa tafadhali.
Gentlemen_ said: Inategemea unamtaka wa aina gani.. Kama wa Kishua huwez kukutana nae BUZA kwa Lulenge.. labda kama kaenda msibani. Click to expand... Uzi uishie hapa tafadhali.
kipanga85 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2024 Posts 2,459 Reaction score 6,466 Sep 1, 2024 #6 asante kwa taarifa
Nedlloyd JF-Expert Member Joined Mar 29, 2014 Posts 10,361 Reaction score 27,215 Sep 1, 2024 #7 "Jf chit: Mchezo wa kutafuta mchumba"
Foffana JF-Expert Member Joined Oct 29, 2022 Posts 861 Reaction score 1,547 Sep 1, 2024 #8 Unampata Chuo