Mchumba wa kwenye FACEBOOK kamzuzua

Mchumba wa kwenye FACEBOOK kamzuzua

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,730
Reaction score
9,088
Hapa ofisini kuna dada mmoja amezuzuliwa na penzi la FACEBOO.
Hili penzi la kichina limemuingia mwenetu kiasi kwamba kazi hafanyi, kila siku rundo la viporo linazidi kuwa kubwa.
Je tumsaidieje? Tumemsema lakini hasikii??
 
Ha ha haaa!! NazJaz Usiusemee Moyo wa mwenzio.

Hapa ofisini kuna dada mmoja amezuzuliwa na penzi la FACEBOO.
Hili penzi la kichina limemuingia mwenetu kiasi kwamba kazi hafanyi, kila siku rundo la viporo linazidi kuwa kubwa.
Je tumsaidieje? Tumemsema lakini hasikii??
 
Hapa ofisini kuna dada mmoja amezuzuliwa na penzi la FACEBOO.
Hili penzi la kichina limemuingia mwenetu kiasi kwamba kazi hafanyi, kila siku rundo la viporo linazidi kuwa kubwa.
Je tumsaidieje? Tumemsema lakini hasikii??

Kweli penzi ni kikohozi
Sasa huyo mwenza ameshakutana nae au?
 
Kweli penzi ni kikohozi
Sasa huyo mwenza ameshakutana nae au?

hicho kikohozi si lazima kiwe ndani au influenced na mazingira ya karibu? sasa huyo mdada hata porojo za facebook zinamzengua!! picha za vi-passport size???
 
Mbona wapo wanaozuzuliwa na penzi la Avatar hapa JF
 
hata wewe nazjaz ulizuzuliwa katika FACEBOOK c ndiyo mpk ukatata umuoneshe mtu matiti yako kupitia skype....au?
 
Duu, lakini sio mbaya wakati mwingine mapenzi ya kichina hugeuka kuwa ya kiswahili.... mwambie atie bidii ila kazi niya msingi sana!!!! :coffee:
 
Hapa ofisini kuna dada mmoja amezuzuliwa na penzi la FACEBOO.
Hili penzi la kichina limemuingia mwenetu kiasi kwamba kazi hafanyi, kila siku rundo la viporo linazidi kuwa kubwa.
Je tumsaidieje? Tumemsema lakini hasikii??

Nazjaz, isijekuwa unamsema la-aziz wangu ha ha haaaa!!!!
 
hata wewe nazjaz ulizuzuliwa katika FACEBOOK c ndiyo mpk ukatata umuoneshe mtu matiti yako kupitia skype....au?

unachanganya madesa,Naz na Pauline ni watu tofauti....siku nyengine usisahau miwani yako!:twitch:
 
hata wewe nazjaz ulizuzuliwa katika FACEBOOK c ndiyo mpk ukatata umuoneshe mtu matiti yako kupitia skype....au?

Naona unacheza upatu mkuu
Pau na Nazjaz wapi na wapi . . .!
 
wahenga wasema nyani haoni..............
 
Sidanganyikiiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!
Naanza je yani kuchanganyikiwa na mtu ambaye sijawahi hata kumuona. Haku si bora nikeshe huku Jf nitaniane na kugagua avatar za watu.
 
Kuzuzuka na mchumba wa facebook wala sio issue, kwani hata humu wako wengi. Tatizo ni pale anapochanganya mapenzi na kazi. kama mmemuonya hasikii mpeni memo kwanza mumsikilizie. Asipobadilika block facebook kwenye computer yake.
 
Sio tatizo kupenda mtu ktk facebook, ishu ni hapo anapochanganya mapenzi na kazi, ataharibikiwa.
 
Hayakuhusu jamani mambo ya Ngoswe muachie Ngoswe menyewe
 
Hapa ofisini kuna dada mmoja amezuzuliwa na penzi la FACEBOO.
Hili penzi la kichina limemuingia mwenetu kiasi kwamba kazi hafanyi, kila siku rundo la viporo linazidi kuwa kubwa.
Je tumsaidieje? Tumemsema lakini hasikii??

Wazungu wana msemo "respect your job as part of your life" mwache akose kazi na huyo wa FACEBOOK awe feki ndipo atajua nini maana ya huu usemi.
 
Back
Top Bottom