PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,199
- 8,761
Wadau,
Mtakumbuka kuwa Miss Judith alitushirikisha kwenye maombi ya siku 30 za kumteua wa kuishi naye daima dumu.
Kwa mijibu wa mahesabu aliyojiwekea mwenyewe ilitakiwa by 01/june 2011 atushirikishe majibu!
Bahati mbaya sikuwepo majamvini siku hizo, hivi alileta feedback kuwa amefanikiwa kumwingiza tunduni huyo jamaa?

Miss Judith
[h=2]Siku 30 Nzito za Maisha Yangu. ooh, Glory to God!!![/h] wapendwa,
niko chumani kwangu saa hizi na nahisi pumzi zinataka kukauka. nina mchanganyiko wa wasiwasi na matumaini, japo najiamini kwa hili ninalotarajia kulifanya, lakini tashwishi na mchecheto vinanizinga, nimeona niwashirikishe huenda nikapata tafu japo kidogo!!
ni kwamba baada ya siku 30 zijazo yaani jumatano ya tarehe 1 june 2011, nitamuarifu rasmi kijana mmoja kuwa nimemteua kuwa mchumba wangu!!!
maombi yenu wote tuweze kuvuka salama. mimi naanza maombi mazito mfululizo kumkabidhi Mungu siku hizi zote 30 (and beyond) aziratibu mwenyewe kwa kadiri ya wingi wa rehema na fadhili zake
Mungu awabariki sana
mpenzi wenu Miss Judith (Mrs mtarajiwa)