Mchumba wa Miss Judith!

Mchumba wa Miss Judith!

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
16,199
Reaction score
8,761
Wadau,
Mtakumbuka kuwa Miss Judith alitushirikisha kwenye maombi ya siku 30 za kumteua wa kuishi naye daima dumu.
Kwa mijibu wa mahesabu aliyojiwekea mwenyewe ilitakiwa by 01/june 2011 atushirikishe majibu!
Bahati mbaya sikuwepo majamvini siku hizo, hivi alileta feedback kuwa amefanikiwa kumwingiza tunduni huyo jamaa?
user-online.png
Miss Judith

[h=2]
icon1.png
Siku 30 Nzito za Maisha Yangu. ooh, Glory to God!!![/h]
wapendwa,

niko chumani kwangu saa hizi na nahisi pumzi zinataka kukauka. nina mchanganyiko wa wasiwasi na matumaini, japo najiamini kwa hili ninalotarajia kulifanya, lakini tashwishi na mchecheto vinanizinga, nimeona niwashirikishe huenda nikapata tafu japo kidogo!!

ni kwamba baada ya siku 30 zijazo yaani jumatano ya tarehe 1 june 2011, nitamuarifu rasmi kijana mmoja kuwa nimemteua kuwa mchumba wangu!!!

maombi yenu wote tuweze kuvuka salama. mimi naanza maombi mazito mfululizo kumkabidhi Mungu siku hizi zote 30 (and beyond) aziratibu mwenyewe kwa kadiri ya wingi wa rehema na fadhili zake

Mungu awabariki sana

mpenzi wenu Miss Judith (Mrs mtarajiwa)​

Ngoja aje Mwenyewe kutujibu, nimemuona kule Busy na Babu wa loliondo
 
Binafsi sijaona kama amesema ama la,labda tusubiri!
 
aaaaaaaaaaaaiiiiiiiiiii!!!!! unamtaka wewe??? teh teh teh
Laa Hasha!
Mimi nilioa muongo mzima uliopita!
Hii itawasidia baadhi ya bachela na sinia-bachela wa hapa ndani in case kama maombi yale hayakuzaa.
 
Wadau,
Mtakumbuka kuwa Miss Judith alitushirikisha kwenye maombi ya siku 30 za kumteua wa kuishi naye daima dumu.
Kwa mijibu wa mahesabu aliyojiwekea mwenyewe ilitakiwa by 01/june 2011 atushirikishe majibu!
Bahati mbaya sikuwepo majamvini siku hizo, hivi alileta feedback kuwa amefanikiwa kumwingiza
tunduni huyo jamaa?

[/INDENT]

Mhnnnnn sijui maana hilo swala limekuwa na usili mkubwa.
 
Laa Hasha!
Mimi nilioa muongo mzima uliopita!
Hii itawasidia baadhi ya bachela na sinia-bachela wa hapa ndani in case kama maombi yale hayakuzaa.

aaaaaaaaaaaiiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!
 
paka jimy umenikumbusha mkuu....kweli tunasubiri feedback.......lakini pia hapo katikati ulitokea mushikeli mkubwa sana kati yake na familia ya upande wa pili( kwa mchumba)
 
paka jimy umenikumbusha mkuu....kweli tunasubiri feedback.......lakini pia hapo katikati ulitokea mushikeli mkubwa sana kati yake na familia ya upande wa pili( kwa mchumba)
Dont tell me!
Mkuu umejuaje haya?..Au alipandisha bandiko?...au mkuu una ujirani nae nini?
 
paka jimy umenikumbusha mkuu....kweli tunasubiri feedback.......lakini pia hapo katikati ulitokea mushikeli mkubwa sana kati yake na familia ya upande wa pili( kwa mchumba)
Mnaishi jirani nini kamanda?
 
Aaaah is it too Late??!!!!!!:A S 12:

Ningekwambia usihofu wamejaa wanawake tele.....lkn kusema ukweli wanawake wa quality yake ni wachache sana hapa duniani. Kwa hiyo pole sana, lakini unaweza pata mbora zaidi au aliye chini kidogo kwa ubora, usife moyo. Fanya maombi tu. Mungu ni muweza
 
paka jimy umenikumbusha mkuu....kweli tunasubiri feedback.......lakini pia hapo katikati ulitokea mushikeli mkubwa sana kati yake na familia ya upande wa pili( kwa mchumba)

Edson mbona unataka kuharibu hali ya hewa?
 
kaka nilikudokeza hii kitu...umesahau....
hehehehehe nimekusoma kiongozi!! kwa hiyo mambo ni valu valu hakuna cha mchumba wala nini? wazi wa msela walishtuka nini wakajua mwanao anata kuolewa badala ya kuoa? Isije kua kuna ndugu wa msela alipita hapa JF akaona akaenda kuwashtua madingi!!
 
Back
Top Bottom