Mchumba wa Wolper akatwa sikio, anadaiwa mamilioni

Mchumba wa Wolper akatwa sikio, anadaiwa mamilioni

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Posts
16,973
Reaction score
9,572
SAM_4405.JPG
 
<Topic stopped> Moved to Shigogo's Forum.
 
EH!jamani jamani!hawa movie stars wetu na wanaume wanaofall nao!NIPASUA KICHWA KWELI KWELI,wadau hebu rejea ya jackie nani sijui,kajala,na wengine kibao!huku kupenda wanaume wenye pesa kutakuja kuwafany wadate hata na mapepo!
 
Haya magazeti ya rangi rangi nayo khaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Nashangaa halafu huyu Mungi huwa namuheshimu sana kumbe naye ni mulemule.Ndo mana siku hizi wanawake wanapesa kuliko me coz muda wa mmajungu hawana kabisa

Mkuu MMU ndo uswahilini hujui? Mi humu naingia kwa bahati mbaya tu, kabla sijalog of namwaga radhi huyooooo!! Bye
 
Na mimi nilitaka kusema hivyo hivyo...mwisho watakuja penda mashetani. Wanatumia uzuri kutafuta njia ya mkato kwenye maisha. Na wana kama ushindani hivi.

EH!jamani jamani!hawa movie stars wetu na wanaume wanaofall nao!NIPASUA KICHWA KWELI KWELI,wadau hebu rejea ya jackie nani sijui,kajala,na wengine kibao!huku kupenda wanaume wenye pesa kutakuja kuwafany wadate hata na mapepo!
 
Nashangaa halafu huyu Mungi huwa namuheshimu sana kumbe naye ni mulemule.Ndo mana siku hizi wanawake wanapesa kuliko me coz muda wa mmajungu hawana kabisa

labda kaacha laptop on bila ku-logout JF dogo akaingia chap nakupost udaku!:bathbaby:
 
Back
Top Bottom