Mchumba wangu ameniuliza "Lowassa ndio nani?"

Hako kanafaa kuolewa kabisa ndugu yangu .

Siku unachukua picha ya Clatous Chota Chama unakaambia huyo ndiye raisi wa Tanzania kataamini yaani kiufupi hao ndiyo wazuri unamuendesha utakavyo sio haya magurudende ya mjini kutwa yanajua kila kitu hapa mijini

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kumjua Lowassa ndio exposure? Kama anamjua Yesu na kumwamini inatosha sana kuwe mke. Halafu mke awe na exposure kwenye siasa itasaidia nini katika ustawi wa familia yenu?
Labda anataka awe kama akina Halima Mdee
 
[emoji28][emoji28]

Sawa mkuu nimekuelewa sawia kabisa.
 
Kwan lazima ajue kila kitu?
 
Asante mkuu.

Bunti ni bikira kweli na ni muombaji sana, tena ni yale maombi ya kuzamia.

Nimependa hapo kwenye kumuuliza habari za mitume na manabii na sio maswala ya siasa [emoji28]
Maombi ya kuzamiw ndo nn mkuu?
We sema ni muombaji basi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…