Mchumba wangu ameniuliza "Lowassa ndio nani?"

Kile kipindi Tundu Lissu anapigwa Risasi Dodoma
Kuna Mtu Tena ni Mkubwa around 32 akawa anasema kwani Tundu Lissu ndio Nani
Nilishangaa kweli yaani
Duh!

Kumbe kwa huyu kutomjua Lowasa sio ajabu pia!
 
afadhali wewe, mimi niliukizwa nyerere ndio nani?
 
Nakuonea uruma xana akuna mtu apo akuna watu wazinifu kama wanaojifanya wanamjua mungu mara nyingi wanakulana wao kwa wao pia nakushaur usije ukaoa muha utakuja kujuta maisha yako yote
Mshauli aoe mchaga mkuu, asioe Muha , kumbe bado kunawatu wanaoa kwakuangalia makabila mpaka kipindi hichi sikujua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…