Mama paradigm
JF-Expert Member
- Apr 17, 2010
- 372
- 755
Si ushukuru hajakuwa polluted na mambo ya Duniani??
Wife material huyo... Hongera
Wife material huyo... Hongera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mkuu? Dah ninataka kuoa Muha kwasababu niko huku na ninafanya kazi huku nataka kuoa.Nakuonea uruma xana akuna mtu apo akuna watu wazinifu kama wanaojifanya wanamjua mungu mara nyingi wanakulana wao kwa wao pia nakushaur usije ukaoa muha utakuja kujuta maisha yako yote
🤠🤠🤠🤠! Atakua born juzijuzi tu hapa
[emoji23][emoji23]Mimi demu akishanambia hanipi nyuchi mpaka ndoa hapo lazima niingie mitini.
Umesomeka mkuu.
Duh!Kile kipindi Tundu Lissu anapigwa Risasi Dodoma
Kuna Mtu Tena ni Mkubwa around 32 akawa anasema kwani Tundu Lissu ndio Nani
Nilishangaa kweli yaani
Nashukuru kwa kunitia moyo mkuu. Ngoja tuone..Si ushukuru hajakuwa polluted na mambo ya Duniani??
Wife material huyo... Hongera
[emoji28][emoji28]Hahaha! Wewe unatafuta mke au unatafuta mwanasiasa?
[emoji848]Tafakari vizuri Ulokole wako, isije ikawa unafanya maigizo ukamharibia binti wa mchungaji maisha yake ya wokovu.
Pamoja sana mkuu.Yaah ila mkuu me sijauliZa kw ubaya, anyways nimeelewa
[emoji848]Lakini kweli, 2008 wakati mshua anaachia ngazi ya Uwaziri Mkuu bint alikuwa na miaka 3.
afadhali wewe, mimi niliukizwa nyerere ndio nani?Natumaini j2 ya leo ni njema kwetu sote.
Katika harakati za kutafuta mwenza wa maisha, nimefahamiana na binti mmoja wa Kilokole ambaye ni mtoto wa Mchungaji wa moja ya Makanisa ya Kipentekoste ambapo na mimi naabudu.
Kabla sijampokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yangu, nakiri kuishi maisha yaliyotawaliwa na uzinzi na starehe za kila aina kama ulevi n.k.
Baadaye nikapata neema ya kuokoka. Nikajikuta nasali Kanisa 'X' ambamo ndio nimekutana na huyo binti wa miaka 23, mhitimu wa kidato cha 4 mwaka 2022, mrembo sana, Mcha Mungu, mwanakikundi wa kikundi cha Maombi Kanisani na muimbaji hodari wa nyimbo za Injili. Kabila ni muha.
Nina miezi 9 hapa Kanisani lakini nina miezi 2 tangu nifahamiane nae. Nimejiridhisha pasina shaka kwamba binti ni bikira. Na msimamo wake ni kwamba hatafanya zinaa mpaka siku atakayoolewa.
Baada ya kupendekeza wazo langu kwake akaomba nimpe muda wa kunichunguza. Alipojiridhisha kuhusu mwenendo wangu akaridhia ombi langu kwa sharti la kutofanya nae zinaa mpaka siku ya ndoa!
Bado hatujamshirikisha baba yake ambaye ni Mchungaji kwasababu na mimi nilimuomba anipe muda nijitafakari kama kweli niko tayari kutomuingilia kimwili kabla ya ndoa. Ukizungumza na huyu binti utagundua kwamba bado ni mshamba sana, ameshatembea mikoa 2 tu, mkoa mmoja ukiwa ni wa Shule aliyomaliza kidato cha 4.
Kwa sasa ni mjasiriamali kwasababu hakufanya vizuri kidato cha nne, malengo yake ni kusoma masomo ya uuguzi na sifa anazo.
Leo baada ya kutoka church tukaenda mahali kupata chakula cha mchana, ameniuliza swali la ajabu sana, kwamba Lowasa ni nani? Nadhani amekutana na taarifa za kifo cha Lowasa mitandaoni. At first nilidhani anatania, baadaye nikagundua alikuwa serious kwamba hamjui Lowasa!
Sasa wakuu, mwanamke wa hivi, ambaye amemaliza kidato cha 4 na amepata daraja la 3 la mwisho, inawezekanaje akawa hamjui Hayati Lowasa?
Kwa mtazamo wenu, anaweza akawa mama bora wa familia? Kiukweli ana exposure ndogo sana lakini ni mtafutaji mno. Anajielewa. Ana misimamo. Na anamtumikia Mungu katika roho na kweli.
Hebu tupeane uzoefu ili nisije nikajichanganya wakuu...
Asante mkuu. Ngoja tuone.Huyo sasa ndio wa kuoa
Aisee [emoji28]afadhali wewe,mimi niliukizwa nyerere ndio nani?
Mshauli aoe mchaga mkuu, asioe Muha , kumbe bado kunawatu wanaoa kwakuangalia makabila mpaka kipindi hichi sikujua.Nakuonea uruma xana akuna mtu apo akuna watu wazinifu kama wanaojifanya wanamjua mungu mara nyingi wanakulana wao kwa wao pia nakushaur usije ukaoa muha utakuja kujuta maisha yako yote