Mchumba wangu ameniuliza "Lowassa ndio nani?"

Sasa amjue Lowasa ili iweje anyway tangu mi na wewe tuwajue wanasiasa ni Nini kimebadilika zaidi ya kubishana kijiweni mda uende
Hongera umepata mke bikra Muha wa kigoma
 
Nashukuru kwa ushauri mkuu.
 
Natumaini j2 ya leo ni njema kwetu sote.

Katika harakati za kutafuta mwenza wa maisha, nimefahamiana na binti mmoja wa Kilokole ambaye ni mtoto wa Mchungaji wa moja ya Makanisa ya Kipentekoste ambapo na mimi naabudu.

Kabla sijampokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yangu, nakiri kuishi maisha yaliyotawaliwa na uzinzi na starehe za kila aina kama ulevi n.k.

Baadaye nikapata neema ya kuokoka. Nikajikuta nasali Kanisa 'X' ambamo ndio nimekutana na huyo binti wa miaka 23, mhitimu wa kidato cha 4 mwaka 2022, mrembo sana, Mcha Mungu, mwanakikundi wa kikundi cha Maombi Kanisani na muimbaji hodari wa nyimbo za Injili. Kabila ni muha.

Nina miezi 9 hapa Kanisani lakini nina miezi 2 tangu nifahamiane nae. Nimejiridhisha pasina shaka kwamba binti ni bikira. Na msimamo wake ni kwamba hatafanya zinaa mpaka siku atakayoolewa.

Baada ya kupendekeza wazo langu kwake akaomba nimpe muda wa kunichunguza. Alipojiridhisha kuhusu mwenendo wangu akaridhia ombi langu kwa sharti la kutofanya nae zinaa mpaka siku ya ndoa!

Bado hatujamshirikisha baba yake ambaye ni Mchungaji kwasababu na mimi nilimuomba anipe muda nijitafakari kama kweli niko tayari kutomuingilia kimwili kabla ya ndoa. Ukizungumza na huyu binti utagundua kwamba bado ni mshamba sana, ameshatembea mikoa 2 tu, mkoa mmoja ukiwa ni wa Shule aliyomaliza kidato cha 4.

Kwa sasa ni mjasiriamali kwasababu hakufanya vizuri kidato cha nne, malengo yake ni kusoma masomo ya uuguzi na sifa anazo.

Leo baada ya kutoka church tukaenda mahali kupata chakula cha mchana, ameniuliza swali la ajabu sana, kwamba Lowasa ni nani? Nadhani amekutana na taarifa za kifo cha Lowasa mitandaoni. At first nilidhani anatania, baadaye nikagundua alikuwa serious kwamba hamjui Lowasa!

Sasa wakuu, mwanamke wa hivi, ambaye amemaliza kidato cha 4 na amepata daraja la 3 la mwisho, inawezekanaje akawa hamjui Hayati Lowasa?

Kwa mtazamo wenu, anaweza akawa mama bora wa familia? Kiukweli ana exposure ndogo sana lakini ni mtafutaji mno. Anajielewa. Ana misimamo. Na anamtumikia Mungu katika roho na kweli.

Hebu tupeane uzoefu ili nisije nikajichanganya wakuu...
😆😆😆
 
Kwanini amalize 4m4 akiwa na zaid ya miaka 20 bila kumjua Lowasa?
2015 akiwa amebarehe kabisa hata hakutaka kujua nani anagombea Uraisi?
Una uhakika ni Mtanzania? Siyo Mrundi?
Napata jibu ana Umbumbumbu flan hivi unaotokana na Mazingira na Malezi.

Sikushauri, huyo ukioa umemuolea Yesu.
 
Kaka, interests za wanadamu tunatofautiana sana wanawake wengi, tena mabinti wa sasa, current affairs ni zero. Mke ni vigezo vyako mwenyewe, vikifit anafaa, hasa utiifu na uwezo wa kumanage family. Mambo mengine ni wewe kumfungulia dunia na kumtoa tongotongo.
 
Sio lazima kujua kila kitu ila kuna vitu vya kujua. Watu tunamjua mkwawa na hatukuwepo kipindi hicho.

Kama ana miaka 23 saiv ina maana amezaliwa 2000. Imekuaje form four kumaliza na miaka 22. Sio chai hii?
 
Muda mwngne hata kama haupendi Siasa, mpira,mziki, ila kuna zile figure kwenye tasnia flani automatic utazijua tu..mimi kuna bro mmoja kipindi Pele anafariki, nae alisema hamjui kabisa, nikaona kumbe wakt mwngne ni kawaida tu..hatuwezi kufanana, ila dah ndio mtu asimju Lowasa au diamond, eti kisa hafatilii mziki
Kwenye mpira sishangai sababu mtukama pele hayupo tz wengine wanajua team za mpira ni simba na yanga tu , issue ya public figures ni muhimu sana isitoshe miaka hiyo shule ya msingi maswali kuhusu viongozi huulizwa
 
Natumaini j2 ya leo ni njema kwetu sote.

Katika harakati za kutafuta mwenza wa maisha, nimefahamiana na binti mmoja wa Kilokole ambaye ni mtoto wa Mchungaji wa moja ya Makanisa ya Kipentekoste ambapo na mimi naabudu.

Kabla sijampokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yangu, nakiri kuishi maisha yaliyotawaliwa na uzinzi na starehe za kila aina kama ulevi n.k.

Baadaye nikapata neema ya kuokoka. Nikajikuta nasali Kanisa 'X' ambamo ndio nimekutana na huyo binti wa miaka 23, mhitimu wa kidato cha 4 mwaka 2022, mrembo sana, Mcha Mungu, mwanakikundi wa kikundi cha Maombi Kanisani na muimbaji hodari wa nyimbo za Injili. Kabila ni muha.

Nina miezi 9 hapa Kanisani lakini nina miezi 2 tangu nifahamiane nae. Nimejiridhisha pasina shaka kwamba binti ni bikira. Na msimamo wake ni kwamba hatafanya zinaa mpaka siku atakayoolewa.

Baada ya kupendekeza wazo langu kwake akaomba nimpe muda wa kunichunguza. Alipojiridhisha kuhusu mwenendo wangu akaridhia ombi langu kwa sharti la kutofanya nae zinaa mpaka siku ya ndoa!

Bado hatujamshirikisha baba yake ambaye ni Mchungaji kwasababu na mimi nilimuomba anipe muda nijitafakari kama kweli niko tayari kutomuingilia kimwili kabla ya ndoa. Ukizungumza na huyu binti utagundua kwamba bado ni mshamba sana, ameshatembea mikoa 2 tu, mkoa mmoja ukiwa ni wa Shule aliyomaliza kidato cha 4.

Kwa sasa ni mjasiriamali kwasababu hakufanya vizuri kidato cha nne, malengo yake ni kusoma masomo ya uuguzi na sifa anazo.

Leo baada ya kutoka church tukaenda mahali kupata chakula cha mchana, ameniuliza swali la ajabu sana, kwamba Lowasa ni nani? Nadhani amekutana na taarifa za kifo cha Lowasa mitandaoni. At first nilidhani anatania, baadaye nikagundua alikuwa serious kwamba hamjui Lowasa!

Sasa wakuu, mwanamke wa hivi, ambaye amemaliza kidato cha 4 na amepata daraja la 3 la mwisho, inawezekanaje akawa hamjui Hayati Lowasa?

Kwa mtazamo wenu, anaweza akawa mama bora wa familia? Kiukweli ana exposure ndogo sana lakini ni mtafutaji mno. Anajielewa. Ana misimamo. Na anamtumikia Mungu katika roho na kweli.

Hebu tupeane uzoefu ili nisije nikajichanganya wakuu...
Muache binti wa watu wewe Sio mtu sahihi kwake
 
Asante mkuu.

Bunti ni bikira kweli na ni muombaji sana, tena ni yale maombi ya kuzamia.

Nimependa hapo kwenye kumuuliza habari za mitume na manabii na sio maswala ya siasa [emoji28]
wasiwasi wangu hawa akina Donatila type walokole atakua anakupa mbususu kwa masharti muanze kwa kuomba.
 
Tuanzie hapo kwenye mchumba vp we ni mchumba wake au upo kimkakati usijekuwa unamlazimisha ajue mambo ambayo hayatomsaidia kwaajili ya mtu asiyekuwa na msaada wowote! Just a question [emoji23]
 
Back
Top Bottom