Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Karibu kaka angu sa kumi pia hutakua umechelewa sn.
Lkn pia ukishindwa kabisa, upendo tv inakua live....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu kaka angu sa kumi pia hutakua umechelewa sn.
Karibu PM basi unielekeze zaidi kuhusu Mwalimu Mwakasege [emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duh
Ht mwandiko tu hujausoma?ht jina?
Wala usiwe na wasiwasi kaka, mi kuhanil ,KE
Hii ni habari njema sana, tena kwa watu wote [emoji28]Karibu kaka angu sa kumi pia hutakua umechelewa sn.
Lkn pia ukishindwa kabisa, upendo tv inakua live....
Huyo bumundaNatumaini jumapili ya leo ni njema kwetu sote.
Katika harakati za kutafuta mwenza wa maisha, nimefahamiana na binti mmoja wa Kilokole ambaye ni mtoto wa Mchungaji wa moja ya Makanisa ya Kipentekoste ambapo na mimi naabudu.
Kabla sijampokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yangu, nakiri kuishi maisha yaliyotawaliwa na uzinzi na starehe za kila aina kama ulevi n.k.
Baadaye nikapata neema ya kuokoka. Nikajikuta nasali Kanisa 'X' ambamo ndio nimekutana na huyo binti wa miaka 23, mhitimu wa kidato cha 4 mwaka 2022, mrembo sana, Mcha Mungu, mwanakikundi wa kikundi cha Maombi Kanisani na muimbaji hodari wa nyimbo za Injili. Kabila ni muha.
Nina miezi 9 hapa Kanisani lakini nina miezi 2 tangu nifahamiane nae. Nimejiridhisha pasina shaka kwamba binti ni bikira. Na msimamo wake ni kwamba hatafanya zinaa mpaka siku atakayoolewa.
Baada ya kupendekeza wazo langu kwake akaomba nimpe muda wa kunichunguza. Alipojiridhisha kuhusu mwenendo wangu akaridhia ombi langu kwa sharti la kutofanya nae zinaa mpaka siku ya ndoa!
Bado hatujamshirikisha baba yake ambaye ni Mchungaji kwasababu na mimi nilimuomba anipe muda nijitafakari kama kweli niko tayari kutomuingilia kimwili kabla ya ndoa. Ukizungumza na huyu binti utagundua kwamba bado ni mshamba sana, ameshatembea mikoa 2 tu, mkoa mmoja ukiwa ni wa Shule aliyomaliza kidato cha 4.
Kwa sasa ni mjasiriamali kwasababu hakufanya vizuri kidato cha nne, malengo yake ni kusoma masomo ya uuguzi na sifa anazo.
Leo baada ya kutoka church tukaenda mahali kupata chakula cha mchana, ameniuliza swali la ajabu sana, kwamba Lowasa ni nani? Nadhani amekutana na taarifa za kifo cha Lowasa mitandaoni. At first nilidhani anatania, baadaye nikagundua alikuwa serious kwamba hamjui Lowasa!
Sasa wakuu, mwanamke wa hivi, ambaye amemaliza kidato cha 4 na amepata daraja la 3 la mwisho, inawezekanaje akawa hamjui Hayati Lowasa?
Kwa mtazamo wenu, anaweza akawa mama bora wa familia? Kiukweli ana exposure ndogo sana lakini ni mtafutaji mno. Anajielewa. Ana misimamo. Na anamtumikia Mungu katika roho na kweli.
Hebu tupeane uzoefu ili nisije nikajichanganya wakuu...
Yote ni ubatili tu nduguHii ni habari njema sana, tena kwa watu wote [emoji28]
Badala ya kunialika beach Kidimbwi umeona huku ndio mahali salama kwangu [emoji2]
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hakuna jipya mkuuKaribu PM basi unielekeze zaidi kuhusu Mwalimu Mwakasege [emoji3]
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28]Mapenzi na siasa wapi na wapi? Kama umeamua kuoa oa
Sijasema namuacha mkuu [emoji28]Muoe lowasa naww unajisikia tu jingine huna eti unamuacha mtu kisa lowassa are you listern to yourself
Hakika mkuu, ni ubatili mtupu na kukimbiza upepo.Yote ni ubatili tu ndugu
SI unajua tuko mwishoni
Tukae tayari Muda wote
Hilo nalijua mkuu, mbona kama unanikwepa? [emoji28]Hakuna jipya mkuu
Ukimsearch unaweza moata utube
Na masomo yake hapo
Sorry kwa hili...Natumaini jumapili ya leo ni njema kwetu sote.
Katika harakati za kutafuta mwenza wa maisha, nimefahamiana na binti mmoja wa Kilokole ambaye ni mtoto wa Mchungaji wa moja ya Makanisa ya Kipentekoste ambapo na mimi naabudu.
Kabla sijampokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yangu, nakiri kuishi maisha yaliyotawaliwa na uzinzi na starehe za kila aina kama ulevi n.k.
Baadaye nikapata neema ya kuokoka. Nikajikuta nasali Kanisa 'X' ambamo ndio nimekutana na huyo binti wa miaka 23, mhitimu wa kidato cha 4 mwaka 2022, mrembo sana, Mcha Mungu, mwanakikundi wa kikundi cha Maombi Kanisani na muimbaji hodari wa nyimbo za Injili. Kabila ni muha.
Nina miezi 9 hapa Kanisani lakini nina miezi 2 tangu nifahamiane nae. Nimejiridhisha pasina shaka kwamba binti ni bikira. Na msimamo wake ni kwamba hatafanya zinaa mpaka siku atakayoolewa.
Baada ya kupendekeza wazo langu kwake akaomba nimpe muda wa kunichunguza. Alipojiridhisha kuhusu mwenendo wangu akaridhia ombi langu kwa sharti la kutofanya nae zinaa mpaka siku ya ndoa!
Bado hatujamshirikisha baba yake ambaye ni Mchungaji kwasababu na mimi nilimuomba anipe muda nijitafakari kama kweli niko tayari kutomuingilia kimwili kabla ya ndoa. Ukizungumza na huyu binti utagundua kwamba bado ni mshamba sana, ameshatembea mikoa 2 tu, mkoa mmoja ukiwa ni wa Shule aliyomaliza kidato cha 4.
Kwa sasa ni mjasiriamali kwasababu hakufanya vizuri kidato cha nne, malengo yake ni kusoma masomo ya uuguzi na sifa anazo.
Leo baada ya kutoka church tukaenda mahali kupata chakula cha mchana, ameniuliza swali la ajabu sana, kwamba Lowasa ni nani? Nadhani amekutana na taarifa za kifo cha Lowasa mitandaoni. At first nilidhani anatania, baadaye nikagundua alikuwa serious kwamba hamjui Lowasa!
Sasa wakuu, mwanamke wa hivi, ambaye amemaliza kidato cha 4 na amepata daraja la 3 la mwisho, inawezekanaje akawa hamjui Hayati Lowasa?
Kwa mtazamo wenu, anaweza akawa mama bora wa familia? Kiukweli ana exposure ndogo sana lakini ni mtafutaji mno. Anajielewa. Ana misimamo. Na anamtumikia Mungu katika roho na kweli.
Hebu tupeane uzoefu ili nisije nikajichanganya wakuu...
Sorry hapo kwenye bold inaonyesha jinsi mpo pamoja kiupeo usimshangae waa kuuuliza humu enendana nae..Asante mkuu.
Bunti ni bikira kweli na ni muombaji sana, tena ni yale maombi ya kuzamia.
Nimependa hapo kwenye kumuuliza habari za mitume na manabii na sio maswala ya siasa [emoji28]
Huyo akili ndogo sana, usijejikuta umeoa chiziNatumaini jumapili ya leo ni njema kwetu sote.
Katika harakati za kutafuta mwenza wa maisha, nimefahamiana na binti mmoja wa Kilokole ambaye ni mtoto wa Mchungaji wa moja ya Makanisa ya Kipentekoste ambapo na mimi naabudu.
Kabla sijampokea Yesu kuwa Bwana na mwokozi wa maisha yangu, nakiri kuishi maisha yaliyotawaliwa na uzinzi na starehe za kila aina kama ulevi n.k.
Baadaye nikapata neema ya kuokoka. Nikajikuta nasali Kanisa 'X' ambamo ndio nimekutana na huyo binti wa miaka 23, mhitimu wa kidato cha 4 mwaka 2022, mrembo sana, Mcha Mungu, mwanakikundi wa kikundi cha Maombi Kanisani na muimbaji hodari wa nyimbo za Injili. Kabila ni muha.
Nina miezi 9 hapa Kanisani lakini nina miezi 2 tangu nifahamiane nae. Nimejiridhisha pasina shaka kwamba binti ni bikira. Na msimamo wake ni kwamba hatafanya zinaa mpaka siku atakayoolewa.
Baada ya kupendekeza wazo langu kwake akaomba nimpe muda wa kunichunguza. Alipojiridhisha kuhusu mwenendo wangu akaridhia ombi langu kwa sharti la kutofanya nae zinaa mpaka siku ya ndoa!
Bado hatujamshirikisha baba yake ambaye ni Mchungaji kwasababu na mimi nilimuomba anipe muda nijitafakari kama kweli niko tayari kutomuingilia kimwili kabla ya ndoa. Ukizungumza na huyu binti utagundua kwamba bado ni mshamba sana, ameshatembea mikoa 2 tu, mkoa mmoja ukiwa ni wa Shule aliyomaliza kidato cha 4.
Kwa sasa ni mjasiriamali kwasababu hakufanya vizuri kidato cha nne, malengo yake ni kusoma masomo ya uuguzi na sifa anazo.
Leo baada ya kutoka church tukaenda mahali kupata chakula cha mchana, ameniuliza swali la ajabu sana, kwamba Lowasa ni nani? Nadhani amekutana na taarifa za kifo cha Lowasa mitandaoni. At first nilidhani anatania, baadaye nikagundua alikuwa serious kwamba hamjui Lowasa!
Sasa wakuu, mwanamke wa hivi, ambaye amemaliza kidato cha 4 na amepata daraja la 3 la mwisho, inawezekanaje akawa hamjui Hayati Lowasa?
Kwa mtazamo wenu, anaweza akawa mama bora wa familia? Kiukweli ana exposure ndogo sana lakini ni mtafutaji mno. Anajielewa. Ana misimamo. Na anamtumikia Mungu katika roho na kweli.
Hebu tupeane uzoefu ili nisije nikajichanganya wakuu...
Jmn kwann nikukwepe?Hilo nalijua mkuu, mbona kama unanikwepa? [emoji28]
Au hutaki marafiki? Huu upendo wa Agape tu mkuu, ondoa mashaka [emoji1].
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Sawa.Sorry kwa hili...
Kifupi na yeye ni akili/upeo mmoja, jidadavue binafsi kinaganga.
Ok.Sorry hapo kwenye bold inaonyesha jinsi mpo pamoja kiupeo usimshangae waa kuuuliza humu enendana nae..
N.b roho na kweli ndio inakuwaje?
Je, kuna vice versa yake yani roho na uongo?
Cc Kiranga
Ok.Huyo akili ndogo sana, usijejikuta umeoa chizi