Mkuu pole sana kwa tatizo linalomsumbua mpenzi wako....... Nenda kwenye duka la dawa hasa haya makubwa nunua dawa inaitwa FLUCONAZOLE inauzwa buku kidonge kimoja ila inaweza ikawa imepanda pia. Nunua vidonge 6 au 8 na kila kibox kina kidonge kimoja. Mpe mpenzi wako mwambie anywe kidonge kimoja kila wiki na achangue siku 1 katika wiki ambayo ndio atakuwa anakunywa hiyo dawa na anywe dozi mpaka amalize. Atakapokunywa dawa hii kuna dalili za kujisikia vibaya atakuwa anazipata asijali ni jambo la kawaida asiogope bali ajitahidi tuu kunywa maji mengi na kula chakula cha kutosha.Wadau habarini za usiku.
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza mchumba wangu amepatwa na hilo tatizo na tumejaribu Kuwaona wataalam wamempatia dawa lakini tatizo bado na si mara ya kwanza kuonana na wataalam lakini hali bado na ametoka kumaliza dozi ya fangasi lakini hali bado, hivyo naombeni msaada wenu ndugu Zangu.
Mkuu pole sana kwa tatizo linalomsumbua mpenzi wako....... Nemba kwenye duka la dawa hasa haya makubwa nunua dawa inaitwa FLUCONAZOLE inauzwa buku kidonge kimoja ila inaweza ikawa imepanda pia. nunua vidonge 6 au 8 na kila kibox kina kidonge kimoja. Mpe mpenzi wako mwambie anywe kidonge kimoja kila wiki na achangue siku 1 ktk wiki ambayo ndio atakuwa anakunywa hiyo dawa na anywe dozi mpaka amalize. Atakapokunywa dawa hii kuna dalili za kujisikia vibaya atakuwa anazipata asijali ni jambo la kawaida asiogope bali ajitahidi tuu kunywa maji mengi na kula chakula cha kutosha.
Nilisumbuliwa na hilo tatizo mkuu fo almost miaka 3 yaani ilikuwa ni kero...... nilipimwa kila kipimo kwenye hospitali kubwa zote dar lakini niliishia kunywa midawa tuu ambayo ilinijazia sumu mwilini na mwishoe rafiki yangu ambaye ni mzungu ndo akaniambia nitumie hizo dawa na huu ni mwaka wangu wa 2 sasa hilo tatizo limekuwa historia hata kuwashwa siwashwi.... Niliathirika mpk kwenye kizazi kwa sababu ya hilo tatizo na kwa sasa nafurahia maishaKwanini unadhani ni candidiasis?
Kwanini.
Huu ni ushauri kutokana na experience niliyopitia mimi pamoja na watu ambao niliwashirikisha kutumia hizi dawa na wamepona.....Akiona inafaaa na yeye pia anaweza akatumia na kujionea matokeo yeye mwenyeweKwanini unadhani ni candidiasis?
Kwanini.
Hii dawa nilijikuta nimeinunua kwa makosa baada ya kumtuma Dogo pharmacy kukosea jina la dawa niliyomtumaHuu ni ushauri kutokana na experience niliyopitia mimi pamoja na watu ambao niliwashirikisha kutumia hizi dawa na wamepona.....Akiona inafaaa na yeye pia anaweza akatumia na kujionea matokeo yeye mwenyewe
atakuwa na UTI Sugu, akapime wampe Sindano za Masaa...hasa kama anatumia vyoo vya mchanganyiko au anakuchanganya wewe na mwingine.Wadau habarini za usiku.
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza mchumba wangu amepatwa na hilo tatizo na tumejaribu Kuwaona wataalam wamempatia dawa lakini tatizo bado na si mara ya kwanza kuonana na wataalam lakini hali bado na ametoka kumaliza dozi ya fangasi lakini hali bado, hivyo naombeni msaada wenu ndugu Zangu.