Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni ya tube kama dawa ya meno muundo wake hapo matatizo kwisha sema imeanza kuwa adimuhiyo dawa ikoje kichwabox?
Naomba mimi rafiki yangu nisaidieHii dawa nilijikuta nimeinunua kwa makosa baada ya kumtuma Dogo pharmacy kukosea jina la dawa niliyomtuma
Ninazo kama vibox sita kwenye shelf yangu ya Dawa najiuliza sijui nani hatakuja kuzitumia.
poa nipe directionNaomba mimi rafiki yangu nisaidie
Ivi kuna dawa ya gono??Umempa gono
Kutokwa na maji maji kama rangi ya maji yaliooshea mchele au usaha si ndio gono iyo???na ipi tiba yake??Ivi kuna dawa ya gono??
Itakuwa ni fangasi kweli, post za mwanzo nilimshauri na kumsihi ni fangasi na aende hospital atapata usaidizi wa tatizoFangasi[emoji124]