Mchumba wangu ana matatizo ya kutoa vitu vyeupe kama maziwa ya mgando sehemu za siri

Hii dawa nilijikuta nimeinunua kwa makosa baada ya kumtuma Dogo pharmacy kukosea jina la dawa niliyomtuma

Ninazo kama vibox sita kwenye shelf yangu ya Dawa najiuliza sijui nani hatakuja kuzitumia.
Naomba mimi rafiki yangu nisaidie
 
Vipi usalama wa mtoa mada /mwomba ushauri?Hatakiwi kupima na kutibiwa kweli?
Kama anahitaji tiba, atumie dawa gani?
 
Habar wana Jf?leo nimeleta uzi huu baada ya uzalendo kunishinda, nina binti angu(mke) ambaye tumekuwa nae katika mahusiano kwa takribani mwaka mzma,tatizo ni kwamba wakati wa kufanya tendo huwa inafikia stage nikichomoa gegedo vinatoka vitu vyeupe flani hivi ambao una nata ni mithili ya greece h v, na anatoa maji maji flani meupe japo hayana harufu, sasa kwa wajuvi naomba mnisaidie je huu ni ugonjwa au iko vp maana sipati raha ya tendo kabisa mke wangu huyu
 
Kamuone dk. bingwa wa mognjwa ya akina Mama haraka iwezekanavyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…