Mchumba wangu anahitaji tuzae mtoto wakati mie mwenyewe kimaisha bado sijasimama

Hahahahah kwahio huu ni mtego wa kusaka ndoa kwa mlango wa uwani au sio?

Aisee pole sana mkuu haya maswala ya kulea ni noma sana yani! Hizo bill zinaanguka kama mvua kudadeq huna A wala B aisee utachoka!
 
Kuna mwanangu demu anamsumbua kwa swala hili hili yani sahizi anataka ndoa mwanzo alisumbua ishu ya mtoto!
 
Usipate mtoto ukitegemea hii doctrine ikubebe utapotea.
Hiyo doctrine inafanya kazi vizuri tu,babymama wangu alipata mimba nikamwambia atoe maana sikuwa na mishe za uhakika,akagoma kutoa akanambia mbeleni mambo yatakuwa vizuri nitapata hela.

Asee tukaacha mimba ikakua mpaka babymama anaingia leba sina hela nikakopa laki kadhaa kwa rafiki zangu nikamnunulia mahitaji nikamtumia maana alienda kujifungulia kwao plus na zawadi za majirani zao huko akapata laki ya matumizi ila baada ya mwezi maisha yakaenda vizuri nikapata na kazi now mtoto kawa mkubwa ni furaha tu.
 
Itakua hujaelewa alichomaanisha na nilichomaanisha.

Mwanamke akikuambia tuzae halafu nitalea usimuamini.

Ila hiyo ya acha tuzae mambo yatanyooka hiyo haina shida, shida ni kuamini yeye atalea huku wewe usihusike.
 
Itakua hujaelewa alichomaanisha na nilichomaanisha.

Mwanamke akikuambia tuzae halafu nitalea usimuamini.

Ila hiyo ya acha tuzae mambo yatanyooka hiyo haina shida, shida ni kuamini yeye atalea huku wewe usihusike.
Okay,hiyo ya kuzaa sikusumbui haipo duniani labda uwe umekufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…