Mchumba wangu anajamba sana akiwa usingizini

Mkuu pole na kufukizwa huko🤣🤣🤣🤣
Ushauri wangu jaribu kumkamulia limau kwenye chai kila siku kata limau moja kamua maji yake ndani ya chai koroga anywe ndani ya wiki hizo gesi zitakata
 
Hapo ni mwendo wa barakoa mwanzo mwisho maana hakina namna yabkurecord harufu ili umprovie .pole
 
Mzibe na gunzi kabla ya kulala
 

Mwanaume kaba tulikubaliana wanaume hamna kutoa siri za ndani.
 
Mwambie amezee kila siku kitunguu swaumu, ilaaa sasa mwambie kitunguuu kinazuia pressure.........
Atasafishaaa tumboooo atakuwa safi kabisaaaa
 
Umenikumbusha niliwahi kuwa na boss mzungu anajamba kila baada ya nusu saa tena kwa sauti.
Hali hii ilikuwa inampata akijisahau kutumia dawa lkn akitumia hajambi hovyo.

Kwa wale wenye uzoefu kuishi au kuwa karibu na wazungu wao kujamba kwa sauti sio tatizo lkn kucheua kwa sauti kwao hasa mezani utaachiwa chakula.

Fuatilia vizuri huenda ana mchafuko wa tumbo au ana tatizo la kujaa gesi tumbo akila baadhi ya vyakula hasa protini.
 
Tanzania kuna mambo mengi
Wakati watu wa dar wanalalamika panya road.

Huyu analalamika mkewe anajamba
Sasa ulitaka panya road wasimamishe mambo mengine?
Huyu anaomba msaada asaidiwe amtibu mpenzi wake kuna tatizo?
 
Ni sawa, ila omba tu huyo mchumba wako asiwe huku na wala asiuone huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…