Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Vp kuhusu majiran hyo tube ikielekea nje s atawapa tabuMtafutie zile chupi za mieleka halafu connect tube kwa nyuma iende mpaka nje ya chumba,
Mchuchu akiachia yusuph inakuwa no effect Maana ushuzi utaenda nje. Hii Ni quick fix approach, It only solve the problem temporary.
Main problem remained unsolved madaktari wanakuja.
Dalili ya mvua ni mawingu"kula jicho hatakaa ajambe tena,ukimwendekeza kuna siku atakunyea...we mfire uone"Natangaliza shukrani zangu kwenu hasa kama nitasaidiwa kwa ushauri niende wapi hapa Dar kupata matibabu.
Mchumba wangu na mm wote tunatoka kijiji cha Mwaya-Kyela ya vijijini.Baada ya kumaliza Chuo ndiyo nikaenda kijijini kumchumbia kisha mm nikarudi Dar kuendelea na kazi wkt taratibu za harusi zinafanyika.
Mwezi wa nne mama mkwe wangu mtarajiwa akapata matatizo ya kiafya,aka andikiwa rufaa aje Muhimbili na mm ndiyo nikawa mwenyeji wao nikawapokea!
Kwa mara ya kwanza nikaanza kulala na mchumba wangu chumbani na ndiyo nikashuhudia mambo ya ajabu sana.Mchumba wangu anajamba ushuzi unao nuka sana non stop akiwa usingizini na yy huwa hajijui kama anajamba maana ukimuambia asubuhi huwa anakataa kabsa.
Nikajua labda shida ni vyakula vya vijijini alivyo zoea na akipata vyakula vya kuungwa vya mjini hali labda itapungua,lkn kinyume chake ndiyo kujamba kunaongezeka na yananuka zaidi.
Kuna jamaa yangu ni daktari alimpa dawa kwa kumdanganga ni dawa ya tumbo lkn haijasaidia.
Hali hii ya uchafuzi wa hali ya hewa chumbani inakatisha sana tamaa,tafadhali kama kuna ushauri wowote hasa kama kuna mtaalam unamjua ana weza tibu tatizo hili naomba uniandikie
Nashukuru sana.
Ana vidonda tumbo...Natangaliza shukrani zangu kwenu hasa kama nitasaidiwa kwa ushauri niende wapi hapa Dar kupata matibabu.
Mchumba wangu na mm wote tunatoka kijiji cha Mwaya-Kyela ya vijijini.Baada ya kumaliza Chuo ndiyo nikaenda kijijini kumchumbia kisha mm nikarudi Dar kuendelea na kazi wkt taratibu za harusi zinafanyika.
Mwezi wa nne mama mkwe wangu mtarajiwa akapata matatizo ya kiafya,aka andikiwa rufaa aje Muhimbili na mm ndiyo nikawa mwenyeji wao nikawapokea!
Kwa mara ya kwanza nikaanza kulala na mchumba wangu chumbani na ndiyo nikashuhudia mambo ya ajabu sana.Mchumba wangu anajamba ushuzi unao nuka sana non stop akiwa usingizini na yy huwa hajijui kama anajamba maana ukimuambia asubuhi huwa anakataa kabsa.
Nikajua labda shida ni vyakula vya vijijini alivyo zoea na akipata vyakula vya kuungwa vya mjini hali labda itapungua,lkn kinyume chake ndiyo kujamba kunaongezeka na yananuka zaidi.
Kuna jamaa yangu ni daktari alimpa dawa kwa kumdanganga ni dawa ya tumbo lkn haijasaidia.
Hali hii ya uchafuzi wa hali ya hewa chumbani inakatisha sana tamaa,tafadhali kama kuna ushauri wowote hasa kama kuna mtaalam unamjua ana weza tibu tatizo hili naomba uniandikie
Nashukuru sana.
Natangaliza shukrani zangu kwenu hasa kama nitasaidiwa kwa ushauri niende wapi hapa Dar kupata matibabu.

Dili hilo mzee.Natangaliza shukrani zangu kwenu hasa kama nitasaidiwa kwa ushauri niende wapi hapa Dar kupata matibabu.