Mchumba wangu anajamba sana akiwa usingizini

Vp kuhusu majiran hyo tube ikielekea nje s atawapa tabu
One of the Properties of gas, it can expand easily, Volume of a room is too small as compared to outside space.

So when that shit gas goes to outside space, It can expand to neglected concentration, Hence no effect.
 
Upendo unapimwa na vtu vdgo mnoo, haya huo ndyo mwanzo. Bado hujaanza kuish nae rasmi kama mke, n meng utayagundua zaid ya hayo.

Upendo huvumilia (na kama changamoto ina utatuz basi tatueni kwa pamoja), upendo ahuhesabu mabaya, upendo haujivuni, upendo hautafut mambo yake, upendo upendo upendo.

Mpeleke hos, naiman kila kitu kitakaa sawa.
 
Wanyakyusa Wana vifurushi mno ndio maana mishuzi lazima[emoji4][emoji4]
 
Ile kitu huwa muhusika hajui, huenda hata wewe ujajamba, ila ndio hivyo hakuna wa kukuanzishia uzi.
 
Asanteni wote kwa ushauri
Leo tumenunua dawa
Acha tusubiri matokeo
 
Kama vp azame tigo tu kiaina labda ataacha[emoji31]
 
Songo songo asilia 😂😂
Weka pipe kituoni kijana
 
Kwani huwezi leta Uzi kama huu bila kujitambulisha? Sasa huyo demu kama atapita humu au watu wa Kijiji chenu wakipita humu watamjua tuu na kukujua wewe pia.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Mpeleke hospitali achwki madonda ya tumbo. Mara nyingi watu wenye peptic ulcer wanatoaga mishuzi non stop. Gas+++
 
Hamna umemla umegundua umebugi unamtafutia sababu ya kumuacha!!...haya shahidi yako nani?maana na yeye asubuhi anakataa!tupe ushahidi![emoji3]
 
Nilidumu nae muda mfupi sana,baadae nilisafir ndo ikawa mwisho wa penzi letu

Dah
Hii sio nzuri mkuu ina maana ulimkimbia sababu ya matatizo yake ya kiafya wkt ulitakiwa uyamalize
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…