Mchumba wangu anajamba sana akiwa usingizini

Mchumba wangu anajamba sana akiwa usingizini

Malafyale

Platinum Member
Joined
Aug 11, 2008
Posts
13,833
Reaction score
11,173
Natangaliza shukrani zangu kwenu hasa kama nitasaidiwa kwa ushauri niende wapi hapa Dar kupata matibabu.

Mchumba wangu na mm wote tunatoka kijiji cha Mwaya-Kyela ya vijijini.Baada ya kumaliza Chuo ndiyo nikaenda kijijini kumchumbia kisha mm nikarudi Dar kuendelea na kazi wkt taratibu za harusi zinafanyika.

Mwezi wa nne mama mkwe wangu mtarajiwa akapata matatizo ya kiafya,aka andikiwa rufaa aje Muhimbili na mm ndiyo nikawa mwenyeji wao nikawapokea!

Kwa mara ya kwanza nikaanza kulala na mchumba wangu chumbani na ndiyo nikashuhudia mambo ya ajabu sana.Mchumba wangu anajamba ushuzi unao nuka sana non stop akiwa usingizini na yy huwa hajijui kama anajamba maana ukimuambia asubuhi huwa anakataa kabsa.

Nikajua labda shida ni vyakula vya vijijini alivyo zoea na akipata vyakula vya kuungwa vya mjini hali labda itapungua,lkn kinyume chake ndiyo kujamba kunaongezeka na yananuka zaidi.

Kuna jamaa yangu ni daktari alimpa dawa kwa kumdanganga ni dawa ya tumbo lkn haijasaidia.

Hali hii ya uchafuzi wa hali ya hewa chumbani inakatisha sana tamaa,tafadhali kama kuna ushauri wowote hasa kama kuna mtaalam unamjua ana weza tibu tatizo hili naomba uniandikie

Nashukuru sana.
 
Ukimuoa ataacha huyo usiumize kichwa aisee asikwambie mtu vyakula vya kijijini vinajulikana vinatengeneza gesi mwilini mihogo, viazi, maharage,chugu mawe, choroko, na vyenginevyo hali yake itabadilika alafu kumbuka hakuna mkamilifu.
 
Mtafutie zile chupi za mieleka halafu connect tube kwa nyuma iende mpaka nje ya chumba,
Mchuchu akiachia yusuph inakuwa no effect Maana ushuzi utaenda nje. Hii Ni quick fix approach, It only solve the problem temporary.

Main problem remained unsolved madaktari wanakuja.
 
Back
Top Bottom