si bora weye unapewa mchana, wenzako wiki kimoja.ntafos weeee ntakuja kupewa mchanaaa
Kifupi jamaa ana penda kuniii kuliko kazihivyo Zaburi 23 unakaa zako toka asubuhi mpaka mchana unasubiri upewe game, usipopewa unakaa zako hapo unabembeleza weeeh' mpaka tena jioni, ukinyimwa unalia lia mpaka alfajiri tena, maskiiiiini..!!
Mkuu, unatafuta pesa sangapi.??
Nilitaka nimulize hili swali huenda ndo maana ananyimwahivyo Zaburi 23 unakaa zako toka asubuhi mpaka mchana unasubiri upewe game, usipopewa unakaa zako hapo unabembeleza weeeh' mpaka tena jioni, ukinyimwa unalia lia mpaka alfajiri tena, maskiiiiini..!!
Mkuu, unatafuta pesa sangapi.??
Ku veshaMkuu, nunua chips funga! Ataanza kulilia yeye Mkuyenge...
Yaani ukitoka Job unapitia Sinza, unavesha Kama watatu hivi, unapiga zako bia 5 then home!! Fanya hivyo mwezi mzima afu leta mrejesho hapa!
Daah aisee nimechekaa kuna watu wa ajabu sana humu Dunianihivyo Zaburi 23 unakaa zako toka asubuhi mpaka mchana unasubiri upewe game, usipopewa unakaa zako hapo unabembeleza weeeh' mpaka tena jioni, ukinyimwa unalia lia mpaka alfajiri tena, maskiiiiini..!!
Mkuu, unatafuta pesa sangapi.??