Mchumba wangu ananipa masharti magumu ninapotaka kufanya naye mapenzi

Dalili za kutokupendwa, chakufanya we jifanye una mwanamke mwingine nje, ukiona hata hajali basi achana nae, wewe siyo chaguo lake.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Mimi ninamuomba mkuu
Maxence Melo atuletee jukwaa la fan stories za mapenzi.

Eti subiri chakula kishuke 😂😂😂😂😂
 
Kwanza futa hilo jina kwenye avatar yako hapo juu
 
hivyo Zaburi 23 unakaa zako toka asubuhi mpaka mchana unasubiri upewe game, usipopewa unakaa zako hapo unabembeleza weeeh' mpaka tena jioni, ukinyimwa unalia lia mpaka alfajiri tena, maskiiiiini..!!

Mkuu, unatafuta pesa sangapi.??
Pesa zake wewe zinakuhusu nini!?kama hujazipata wewe unadhan kila mtu hana !..we bibi wewe vp!?
 
Muoe kwanza ndo atakupa yoote
 
Kutumia jina hilo kwa uchafu wako hapa ni laana unajitakia.
Uchafu wake uko wapi?.
Huyo mtunga zaburi mwenyewe mwenye zaburi yake hiyo ya 23 Alikuwa mgongaji kishenzi na mpaka wake za watu alikua anapora...Halaf alishawah kugongewa wake zake na mwabaebwa kùmzaa kabisaa ..sasa hapo nani zaid?
Somen habar ninyi kabla ya kuja na hoja hewa
 
Hana hisia zozote kimapenzi na wewe.
Yupo na wewe kwa maslahi na sababu zake binafsi .
Hisia hazilazimishwi usilazimishe penzi.

Acha kung`ang'ania wanawake wapo wengi look around.. maana ukishaingia kwenye ndoa rasmi nahisi utakuwa unapost nyuzi mpya every 12hrs
 
Kutembea na muwa kama fimbo haiwezekani, kama hataki kutoa mbususu, alale mbele! Huyo si mwanamke ni msela mavi umeweka ndani
 
bado siyo mke wako huyo ana plan B
 
Kuna baadhi ya wanawake hawafurahii sex kabisa. Usikalili kua kila mwanamke anahitaji hiyo kunyanduliwa sijui kuandaliwa ni kupoteza muda kwa wengine. Nshawai kua na mtu kama huyo anasema hapendi sex kumbe huwa anaumia akisex so hata ufanye hayo manjonjo yeye anawaza maumivu utayomletea, mwisho anakupa kupunguza kelele tu.

Huyu jamaa akae aongee na huyo mchumba wake, labda ni mgonjwa au huenda hana hisia nae kabisa. Ama lah anaolewa labda kukwepa aibu tu ila hampendi jamaa, ama lah manzi ni msagaji yote yanawezekana. Utahangaika weee kumbe manzi anapenda manzi wenzie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…