Mchumba wangu ananipa masharti magumu ninapotaka kufanya naye mapenzi

Afu pia wengine hua na low libido yani na hua iko pote kwa wanawake na wanaume sometimes sasa jamaa angepata wanaendana pia kuna vyakula akimpa vitamsaidia kuongeza libido.
 
Mzee apo funguka akili ,tafuta zako michepuko 2 uwe unajipigiaa tu huko nje
 
Afu pia wengine hua na low libido yani na hua iko pote kwa wanawake na wanaume sometimes sasa jamaa angepata wanaendana pia kuna vyakula akimpa vitamsaidia kuongeza libido.
Kabisa mkuu, kuna mmoja alisema ye akiwa na mpenzi anapenda tour tu za hapa na pale sio sex kabisa.
So ukikaliki kua kila kitu ni hisia tu unaweza kufeli.
 
Kuna mambo mawili au matatu yanaweza kumfanya mwanamke asitake kufanya mapenzi ya aina yoyote ile na mwanaume wake.

Moja ikiwa mwanamke hana hisia na wewe kabisa, anaweza kukupenda kama kaka au rafiki ila ile intimacy isiwepo.

Pili, anaweza kuwa yuko kwenye shida ya kisaikolojia, labda kuna kitu alipitia au anapitia na hajaweza kucommunicate na wewe. Ikiwa ana jambo linamtatiza itakuwa ngumu sana yeye kuenjoy mapenzi, zaidi sana yatamkera hivyo anavyofanya anaavoid kukereka.

Tatu, anaweza kuwa ana homone imbalance inayompelekea kukosa hamu ya kufanyana.

Kazi kwako kaka, ongea nae, muombe afunguke na mchunguzi pia. Sijataka kusema jichunguze nawe labda hujui mambo sababu na fahamu sisi wanawake tukimpenda mtu tunaridhika na hicho hicho kitu kidogo anachofanya (though nisisemee wengine), ila kama unahisi unamapungufu rekebisha, mfano skills zako na hygine.

Nimemzungumzia yeye zaidi sababu sisi wanawake tukiwa at our best huwa tunapenda mapenzi kuliko mnavyoweza kufikiri, Yaani mtu pochi imejaa, huna changamoto kazini/biashara na huna changamoto kifamilia. Mambo huwa yanawaka mpaka unamuonea huruma mumeo sometimes ametoka job kachoka huku wewe pia unamsubiri kufanywa.
 

Mwanangu hapo kimeumana huyo manz ni km anakufanyia kusud em jaribu kufatilia nyendo zake kwa umakin kwamaan kwa picha ya haraka haraka naona hapo kuna kizuiz ambacho kinafanya mpk akupangie mda wa kukupa mbunye alaf simamia msimamo wako km mwanaume ulikurupuka kupeleka mahar mzee sas je ukimuoa kwa ndoa itakuaj kwamaan mda huu ndio angetakiw akufanyie manjonjo ya kukushawish ili umuoe haraka
 
Kama anapenda tour tuu basi inabidi akuunganishie na rafik yake mmoja ili kichupa kikijaa unaenda kumwaga kwa rafiki yake
Unajiongeza tu mkuu sio lazma uunganishwe, nae anajua siwezi kukaa kumsubiri mpaka awe na hamu wakati nna kichupa mkuu.
 
Ukipewa humkuni(kumnyandua) vizuri.
Pia hujui lugha ya mapenzi inaonekana ukitaka unakua Kama unadai chanchi kwa konda.
Mapenzi ni sayansi na sanaa
 
Yani ni swala la kugusa tu, sijui anafeli wapi .. [emoji23][emoji23]
Anakwama sana kipande cha sabuni(Mbunju) 200,maji ya 500 nusu lita nadhani yanatosha kutengeneza povu la kutosha.Na sehemu tulivu ya kuchaputika kwa mahitaji hayo tu anapata uhondo
 
Anakwama sana kipande cha sabuni(Mbunju) 200,maji ya 500 nusu lita nadhani yanatosha kutengeneza povu la kutosha.Na sehemu tulivu ya kuchaputika kwa mahitaji hayo tu anapata uhondo
Ulokole umemjaa sana, acha aendelee kulialia ..
 
Duh kumbe yanawakuta wengi
 
Huyo binti kama sio mchaga....!!
nimewaza kama wewe,wale hawanaga nyege vichwa vyao wanawaza mahesabu ya pesa tu.
"Nikichukua laki 5 kwa huyu bwege nikaongezea laki 3 ya vicoba nikaongezea na ile ninayomdai masawe,nikaongezea na ile ya danga langu lingine nitanunua kuku nipeleke sadala kwa mosha nikiuza sijapata kiwanja kweli" in mangi's voice.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…