KAMANDA MKUBWA
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 288
- 78
Kama ni mwaminifu, usiwe na hofu, kazi anaacha anapopenda mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina uzoefu wakutosha na hadithi yako
Nisaidie kwa uzoefu wako mkuu please
Tegemea changes kubwa sana ukionana nae tena baada ya kurudi depo..kama unampenda kweli utamvumilia kwa mabadiliko hayo..kwa ushauri usimuweke moyoni kwa 100%..relax mchukulie poa tu..depo kuna mambo mengi sana ambayo.mwanamke yoyote hawezi kuyavumilia ndugu.trust me yani jua huyo mwanamkr sio yule tena ni mtu tofauti kabisaaaaaa..UTAKUJA NIAMBIA
Kuolewa ni miaka 5 baada ya kuajiriwa!
Pole mkuu akirudi tu mwili ikikaa sawa labda baada ya mwaka mmoja tia mimba( km kweli una NIA ya kumuoa, atafukuzwa over na taratibu zote za mafao unachukua. Umenisoma?Ahsante kwa kunijuza.
Vipi lakini uwezekano wa mtu kuacha kazi hiari baada ya mda fulani inaruhusiwa? na kama wanafanya kazi kwa mkataba, mtu anaweza toa ombi la kuacha kazi baada ya muda gani?
madogo kibao huwa wanasimu kule usimtishe mwenzio...MWANDENDEULE;
Mbona umejiletea taab mwenyewe?? Unauliza swali hili huku watu si watakutia kichaa?? Usiogope mchumbako ni mchumba tu, hatabadilika. Uzuri wa ile kitu hainaga alama. Hata alipokuwa na weye, sidhani kama weye ulimkuta bikra. Je, aliwahi kukuambia weye ni wa ngapi kwake kuanzia aliyemtoa usichana wake??
Kama unampenda kweli, acha wivu. Elewa kwamba pale ccp ni marufuku kuruti kuwa na simu. Aheri akutwe na msokoto kuliko simu. Sasa kama mna chart naye, huoni maajab hayo?? Huenda boss yupo zam yeye analinda mbu wasiingie kwenye neti. Wala si utani, kuruti haruhusiwi kuvaa pichu. Usimuwazie, mwache akimaliza arudi akitaka kuendelea utafurahia tuuu wala usiulize wangapi walifuata baada ya weye mara ya mwisho.Pole na mawivu yako yasije kukuua