Mchumba wangu kaninyima papuchi, kisa tuliibuluza PSG

Mchumba wangu kaninyima papuchi, kisa tuliibuluza PSG

Huyu mchumba wangu tulienda nae kuangalia mpira jana usiku, alikuwa anajitapa sana kuwa sisi madrid lazma tunafungwa. mimi nilikuwa mpole kama nimemwagiwa maji nikisubili mpira uanze...
dk kama ya 35 wakatuwasha cha kwanza alinyanyuka kwa furaha zote kushangilia huku ananikanyaga mguuni, nikawa nakwepesha mguu wangu usiumie. baada dk kadhaa cr7 katunyanyua namimi nikanyanyuka nikawa namkanyaga huku nkishangilia.

Mara cha pili hawajakaa sawa marcellooooooooo! ukumbi ulilipuka watu wakawa wanarusha viti kwa furaha mpaka umeme ukakatika, kukatanda giza hatukuwa tunaonana mpaka walipo washa tena. mchumba wang sikumwona tena mpaka mechi inaisha, nikaonngoza mpaka geto kwang nkakuta mlango umefungwa kwa ndan,nkapiga hodi hafungui nikawaza itakuwa kanywa sumu!! nikaamua kuvunja mlango khaa! kumkuta mtu mzima kabisa. nikajilaza tu pembeni yake, mzuka nao ukanianza nikajarib mpapasa akautoa mkono wang.

Tena nikajalib lakini sikufua dafu nikamnyang'anya shuka nkajifunika peke ang. nimeamka asubuhi simwoni.
Watu waliijiaminisha kuwa PSG itamfunga Madrid. Baada ya mechi kuisha watu wote wametoka ukumbini vichwa chini aibu tele. Madrid wanawachezaji wenye uzoefu kwenye UEFA
 
Back
Top Bottom