Baada ya ile kozi fupi kule makete na Nigeria sasa wamerudi kwa ajili practical na hayo ndo matokeo ndo matokeo ya hiyo kozi!
Tutegemee mengi zaidi kama kukutwa na misukule, kufuga majini na hata kuanguka na nyungo wakifuata bidhaa za maduka yao China na hongkong!