Mchumba wangu katekwa na binti wa kichaga naomba maombi yenu!!!!!!!!!

Mchumba wangu katekwa na binti wa kichaga naomba maombi yenu!!!!!!!!!

Huko juu kuna thread ya wachaga kutojua kitu hapa ndo mwenyewe hehehe which is which?
 
Vipi kwani. . . una tatizo na kabila langu?

HAJUI HATA KUANGALIA LOOK SWEET LADY FRM JRO

avatar16123_35.gif


NYWELE KAMA HIZO HATA ULE MATOKE MIA YA BUKOBA HUPATI ZIKO MOSHI TU MJUZE LIZZY
 
haina tena hata ladha
kila saa wachaga
unless mnafanya makusudi kum-provoke mtu
 
Baada ya ile kozi fupi kule makete na Nigeria sasa wamerudi kwa ajili practical na hayo ndo matokeo ndo matokeo ya hiyo kozi!

Tutegemee mengi zaidi kama kukutwa na misukule, kufuga majini na hata kuanguka na nyungo wakifuata bidhaa za maduka yao China na hongkong!
 
Wachaga si Magogo kitandani? Basi asijali jamaa atarudi tu... snigger,snigger
 
Wachaga waogopeni wakipata mwanaume wamempenda, kabla hazijamwagika wanazikimbilia kuzinywa


Wachaga oyeeeee.
 
Back
Top Bottom