Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Mchumba,wajamani nina tatizo ambalo ni siriaz naomba msipuuzie,nina mchumba nimempenda na si ishi nae mwaka ss umeisha,kuna shida moja nampenda sn na yeye ananipenda shida ni kwamba mi niko chuo kikuu yeye ameishia form 4,alifel nimemwambia arisit pepa hataki nami nataka awe na ht credit ili asomee ht ualimu hataki,nataka nimuache,manake nikifikiria maisha nadata kwani nimagumu sn kwa wawili km hamtajituma kwenye kazi na kuzalisha,nifanyeje wakuu ushauri wenu ni wamuhimu
inawezekana anaona akirudia mitihani hatafanya vizuri
Kuliko uoe baadaye uje kumnyanyasa hajasoma bora
umwache kama ulivyosema hapo juu.