Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Mchumba,wajamani nina tatizo ambalo ni siriaz naomba msipuuzie,nina mchumba nimempenda na si ishi nae mwaka ss umeisha,kuna shida moja nampenda sn na yeye ananipenda shida ni kwamba mi niko chuo kikuu yeye ameishia form 4,alifel nimemwambia arisit pepa hataki nami nataka awe na ht credit ili asomee ht ualimu hataki,nataka nimuache,manake nikifikiria maisha nadata kwani nimagumu sn kwa wawili km hamtajituma kwenye kazi na kuzalisha,nifanyeje wakuu ushauri wenu ni wamuhimu
Asimwache bwana, kuwa na elimu sio ndio kila kitu katika dunia hiiinawezekana anaona akirudia mitihani hatafanya vizuri
Kuliko uoe baadaye uje kumnyanyasa hajasoma bora
umwache kama ulivyosema hapo juu.
Ualimu tenaAsome hata ualimu???????
Mchumba,wajamani nina tatizo ambalo ni siriaz naomba msipuuzie,nina mchumba nimempenda na si ishi nae mwaka ss umeisha,kuna shida moja nampenda sn na yeye ananipenda shida ni kwamba mi niko chuo kikuu yeye ameishia form 4,alifel nimemwambia arisit pepa hataki nami nataka awe na ht credit ili asomee ht ualimu hataki,nataka nimuache,manake nikifikiria maisha nadata kwani nimagumu sn kwa wawili km hamtajituma kwenye kazi na kuzalisha,nifanyeje wakuu ushauri wenu ni wamuhimu
Nashukurumi kwa ushauri, lkn kiukweli maisha ni magumu sn mwanamke kua golikipa sio ishu,anatamani kusomea mambo ya hotelia certificate level only,nafikiri sn jamani nieleweni elimu sio sababu lkn je kwamaisha haya tutatoka?mi namwona km ni mvivu
Umemjibu fresh sina la kuongeza afatilie haya, eti shule nani kakwambia shule ndio kila kitu? mwache anaweza kuja fanya maajabu kwenye nyanja ya ujasiriamaliNaomba unisidie kujibu maswali haya; Ulipomuona huyo mchumba wako for the first time je ulimuona yy as a person au elimu yake? Je unataka kuoa mtu au hali yake ya maisha.
I have a hunch kuwa umepata mchumba sahihi lakini for some reasons unashindwa kufunuliwa kuwa huyo ndio mchumba sahihi au siyo sahihi.
Ushauri; Kama unatafuta mchumba kwa kutumia vigezo ambavyo ni physical zaidi na si emotional you better forget about the whole exercise. Kama ni hivyo basi utakuwa unatafuta (napenda kuamini unknowingly) mwanaume tu wa kuwa naye na si mume. Pia nakushauri kuachana na swala la READY MADE husband. Si busara kutarajia kupata MUME ambaye yuko tayari in all wise yaani elimu, kazi nzuri maisha mazuri mwenye address mjini etc etc.
Dada kwa kifupi unaweza kupata mume na ktk maisha yenu ya ndoa mkajipanga kimaendeleo even so itategemea na si guarantee kuwa mambo yenu yatakuwa mazuri sana. That saidi si busara kumuacha mchumba wa kweli sababu ya kiwango cha elimu yake. Kwa hili na-kuchallange ujifunze toka kwa wadada wenzako waliotangulia ktk maisha ya ndoa. Pia nakupongeza kwa kutafuta ushauri
Mchumba,wajamani......nimemwambia arisit pepa hataki nami nataka awe na ht credit ili asomee ht ualimu hataki,nataka nimuache,manake nikifikiria maisha nadata kwani nimagumu sn kwa wawili km hamtajituma kwenye kazi na kuzalisha,nifanyeje wakuu ushauri wenu ni wamuhimu