saidikobelo
Member
- Oct 28, 2018
- 75
- 25
Wewe una umri ganiNaitwa Saidi kobelo nipo kijijini TULIANI wilaya ya Handeni natafuta mke umri isiwe zaidi ya miaka 35 awe muislamu mwenye swala tano mwenye elimu ya mahusiano awe tayari kufanyakazi kwaajili ya familia yetu angalau awe form four na pia angalau awe anaye shaurika
Sent using Jamii Forums mobile app
shikamoo babu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hee babu hayo maneno gani tenaπ―π―π―Marasabaa hujajambaa haya waionaje hiyo nilokuingizia je yatosha kwa leo
Sent using Jamii Forums mobile app
hee babu hayo maneno gani tena[emoji54][emoji54][emoji54]