Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,343
- 10,799
Sasa Wewe unaumia Nini?...nashindwa kukuelewa...Sasa kwan dar siyo mkoa? [emoji16]
Hebu yafuta PESA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Wewe unaumia Nini?...nashindwa kukuelewa...Sasa kwan dar siyo mkoa? [emoji16]
HazipatikaniSasa Wewe unaumia Nini?...nashindwa kukuelewa...
Hebu yafuta PESA
Kweli..zingekua zinapatikana zisingetafutwaHazipatikani
Asante kwa ushauriKweli..zingekua zinapatikana zisingetafutwa
Ila mtoto wa kike?[emoji1787]umri umeniangusha
Kama nakujua jua hivii.. hujawahi badili id?Awe ametokea mkoani hapo [emoji848]
Huyu kwa uandishi wake inaonesha wazii... Anahaja ya kutafuta pesa ...[emoji23][emoji23]Sasa Wewe unaumia Nini?...nashindwa kukuelewa...
Hebu yafuta PESA
Hili neno Mikoani linaniumiza sana yani ni sawa na atakayesema kiba[emoji817], nachukia sanaaaa. Cjui mnatuonaje? Kwamba kuna wa Mkoa na Mikoani?
Mrejesho nitauleta hapa hapa kwenye jukwaaUsisahau kuleta mrejesho mkuu baada ya yote
Mh id gani Tena jaman!?Kama nakujua jua hivii.. hujawahi badili id?
Basi sio weweMh id gani Tena jaman!?
PoaBasi sio wewe