Mchumba

Sasa Wewe unaumia Nini?...nashindwa kukuelewa...

Hebu yafuta PESA
Huyu kwa uandishi wake inaonesha wazii... Anahaja ya kutafuta pesa ...[emoji23][emoji23]

Anahasira hasira bila sababu.
Hili neno Mikoani linaniumiza sana yani ni sawa na atakayesema kiba[emoji817], nachukia sanaaaa. Cjui mnatuonaje? Kwamba kuna wa Mkoa na Mikoani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…