Mimi ni mwanaume wa miaka 30. Ni mrefu kiasi cha 5' 9'. Nina umbo la kispoti. Nina elimu ya graduate. Nina busara na nimeokoka. Ni mwaminifu. Natafuta mchumba wa kumwoa mwenye sifa mzuri. Naomba tujuane ukiwa tayari. Kiswahili changu kisiwe shida. usiwe na tabia ya kuchezea watu ndo uje kwangu. There tayari kutambulisha na kwa wazazi. Email yangu ni emickbee@gmail.com Nakusubiri