Mchumba

Mchumba

Evanjoman

Member
Joined
Jan 11, 2012
Posts
13
Reaction score
0
Mimi ni mwanaume wa miaka 30. Ni mrefu kiasi cha 5' 9'. Nina umbo la kispoti. Nina elimu ya graduate. Nina busara na nimeokoka. Ni mwaminifu. Natafuta mchumba wa kumwoa mwenye sifa mzuri. Naomba tujuane ukiwa tayari. Kiswahili changu kisiwe shida. usiwe na tabia ya kuchezea watu ndo uje kwangu. There tayari kutambulisha na kwa wazazi. Email yangu ni emickbee@gmail.com Nakusubiri
 
hebu wawekee na voigezo vya huyo mchumba mana nimepishana nao kibaaao njianai wanakuja ili wakifika wasipate taabu
 
Back
Top Bottom