PAYE JF-Expert Member Joined Jun 19, 2025 Posts 459 Reaction score 644 Jul 3, 2025 #1 Mtaalamu wa mambo ya Uchumi, Enock Koola amejaza na kurudisha fomu ya kuwania Ubunge, Jimbo la Vunjo linalopatikana katika Wilaya ya Moshi Vijijini. Zoezi la kuchukua, kujaza na kurudisha fomu limesitishwa rasmi siku ya Jana Julai 2.
Mtaalamu wa mambo ya Uchumi, Enock Koola amejaza na kurudisha fomu ya kuwania Ubunge, Jimbo la Vunjo linalopatikana katika Wilaya ya Moshi Vijijini. Zoezi la kuchukua, kujaza na kurudisha fomu limesitishwa rasmi siku ya Jana Julai 2.