Mchumi: Wengi wakisikia 'figures' za Deni la Taifa wanaogopa, kama lipo kwaajili ya miradi itakayozalisha lina tija

Mchumi: Wengi wakisikia 'figures' za Deni la Taifa wanaogopa, kama lipo kwaajili ya miradi itakayozalisha lina tija

Replica

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
1,681
Reaction score
8,887
Mhadhiri wa chuo kikuu cha Dodoma, David Mwakapala akiwa Bungeni Dodoma amesema watu wengi wanaogopa idadi ya tarakimu likisemwa deni la Taifa au Serikali ikiingia mkopo.

Mwakapala amesema deni baya ni ile inayoingia kwenye 'Productive activies' lakini inayokopwa inaingia kwenye miradi ambayo baadae inazalisha kama SGR.

Mwakapala amesema deni la Taifa linaloongezeka halipotei bali litaendelea kuzalisha na kusifia mradi wa SGR kwamba utapeleka Tanzania kuwa na uchumi wa kati ulioimarika na duniani nchi zilifanikiwa kwasababu ya kuwa na reli imara.

Pia, soma=> Waziri Mwigulu Nchemba: Deni la Taifa lafikia Tsh Trilion 69.44

"Mwakapala amesema deni baya ni ile inayoingia kwenye 'Productive activies' lakini inayokopwa inaingia kwenye miradi ambayo baadae inazalisha kama SGR."

Hapa sijamuelewa huyu mchumi

Kwani SGR siyo among hizo productive activities?
 
Nachanganyikiwa ujue eeeh….sasa iweje budget yetu hela nyingi ni matumiz ya kawaida na hela kiduchuuu ndo miradi ya maendeleo? Kwangu Mie nachoona ni kuwa tunakopa ili kufanya matumizi ya kawaida na ndio maana budget ya maendeleo ni kiduchuu
 
Watu wanalipana posho mpk aibu
 
Back
Top Bottom