Mhadhiri wa chuo kikuu cha Dodoma, David Mwakapala akiwa Bungeni Dodoma amesema watu wengi wanaogopa idadi ya tarakimu likisemwa deni la Taifa au Serikali ikiingia mkopo.
Mwakapala amesema deni baya ni ile inayoingia kwenye 'Productive activies' lakini inayokopwa inaingia kwenye miradi ambayo baadae inazalisha kama SGR.
Mwakapala amesema deni la Taifa linaloongezeka halipotei bali litaendelea kuzalisha na kusifia mradi wa SGR kwamba utapeleka Tanzania kuwa na uchumi wa kati ulioimarika na duniani nchi zilifanikiwa kwasababu ya kuwa na reli imara.
"Mwakapala amesema deni baya ni ile inayoingia kwenye 'Productive activies' lakini inayokopwa inaingia kwenye miradi ambayo baadae inazalisha kama SGR."
Nachanganyikiwa ujue eeeh….sasa iweje budget yetu hela nyingi ni matumiz ya kawaida na hela kiduchuuu ndo miradi ya maendeleo? Kwangu Mie nachoona ni kuwa tunakopa ili kufanya matumizi ya kawaida na ndio maana budget ya maendeleo ni kiduchuu