beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Mbunge Issa Mchungahela amesema Taifa haliwezi kuendelea bila kuendeleza Viwanda na vitu vyote vinavyozungumwa haviwezi kufanikiwa. Amesema hayo wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara
Aidha, Mbunge huyo amesema Vipaumbele vya Bajeti za Serikali vimekuwa havizingatiwi na kuongeza, mambo mazuri yanaongelewa lakini utekelezaji umekuwa na changamoto
Aidha, Mbunge huyo amesema Vipaumbele vya Bajeti za Serikali vimekuwa havizingatiwi na kuongeza, mambo mazuri yanaongelewa lakini utekelezaji umekuwa na changamoto