Itaendelea tu mwendakuzimu kaacha viwanda elf8
Ngoja wazee wa ligasi waje watakufafanulia vizuri.Ndo nani?
Elimu ni Kipaumbele [emoji817]Mbunge Issa Mchungahela amesema Taifa haliwezi kuendelea bila kuendeleza Viwanda na vitu vyote vinavyozungumwa haviwezi kufanikiwa. Amesema hayo wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara
Aidha, Mbunge huyo amesema Vipaumbele vya Bajeti za Serikali vimekuwa havizingatiwi na kuongeza, mambo mazuri yanaongelewa lakini utekelezaji umekuwa na changamoto
Hata kununuwa wanasiasa wa upinzani Ni Viwanda piaMbunge Issa Mchungahela amesema Taifa haliwezi kuendelea bila kuendeleza Viwanda na vitu vyote vinavyozungumwa haviwezi kufanikiwa. Amesema hayo wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara
Aidha, Mbunge huyo amesema Vipaumbele vya Bajeti za Serikali vimekuwa havizingatiwi na kuongeza, mambo mazuri yanaongelewa lakini utekelezaji umekuwa na changamoto
Hata hicho kilimo ni viwanda, sema uendeshaji wa viwanda ni wa kitoto kuchezea mdoli akizani ni gari kamili au mtoto, viwanda vya kilimo vya kuzalisha mazao kwa kulima kwa Tanzania ni utoto tu ndo maana hatuthamini kinachotakiwa ni kuleta mashine za kilimo za kisasa kwa bei nafuu au ziuzwe bila kodi kwa kipindi cha muda hata miezi sita au mwaka yaani iwe kilimo chenye vitendea kazi kikiwa na full package ya kulima, kumwagilia, kupalilia na kuvuna kwa mashine kubwa na kisasa, mwisho waongezee na mashine za kusafisha bidhaa ziuzwe zikiwa safi, pili serikali iruhusu tena mashine kwa bei rahisi za kutengeneza bidhaa hata vile viwanda vidogo vidogo vinahitaji mashine za kisasa tatizo ni gharama kuwa juu kitu kinachosababisha wajasiliamali karibu wote kufanya biashara Kama watoto kwa kuzalisha vitu vichache, vibaya na havina mvuto mfano tu hizo bidhaa za kilimo ukienda kuzinunua sokoni karibu zote ni chafu na hazina mvuto kwa wateja na wala ubora, mfano maziwa ya ng'ombe, mahindi sokoni, mchele na soko la ndani lipo lakini linauziwa vitu vichafu visivyoshawishi mlaji sasa huko nje utaviuzaje? Maziwa ya Kenya tu hapo yanakuja kwa ubora lakini huku hata maziwa ya mtaani tu tunashindwa kununua kwasababu ya uchafu, hivyo watu wetu wamekosa mashine za kisasa Ili tupate viwanda hata tukianza na workshops ndogo ndogo zenye mashine za kisasa zenye kuzalisha bidhaa nyingi na safi na Bora kwa wakati mmoja hapo tutakuwa tumejielewa na kuukimbia umasikini wa kipato na kutumia vitu vizuri vyenye mvuto na ubora.Sera ya viwanda kwa Tanzania ni pre mature
Kinachotakiwa ni kuwekeza nguvu kwenye uzalishaji wa kilimo kwa mazao ya biashara na chakula
Vikwazo kwa ku export mazao viondolewe hivyo mkulima atakuwa na fedha nyingi na automatical viwanda vitajileta kwa wafanyabiashara kuamua kupunguza cost za kusafirisha raw materials na kuamua kuchakata hapa hapa
Sasa unalazimisha sera ya viwanda wakati uzalishaji wa raw materials ni mdogo?