Kwa wale mnaojitutumia kuwa ni "wana wa mungu" lakini pia mnapenda kula uroda nje ya ndoa zenu na wana kondoo..ebu Bofya hapo chini uone kisago kikali na matembezi ya "mshikamano ya aibu" kilichowafika Mchungaji na Mke wa Afande huko Kenya waliofumaniwa wakivunja amri ya sita
Jungle Justice: Kenyan Pastor caught fornicating with a Policemans wife
Ni kwa tahadhari tu ya kukumbushana. Nimeshindwa kuleta hizo picha za aibu hapa jukwanai labda kama mods wanaweza kufanya makeke ya kiatalaam zikae sawa kwa hadhi ya kuonywa hapa.
we ngoshwe ni una upungufu wa akili, nilikuwa sitarajii hata wewe ni mjinga kiasi hiki...sasa unachoshangaa ni nini hadi kuwatukashifu hao wanaojiita wana wa mungu, cha ajabu ni nini? kwa akili yako hii hujawai kuona?....
sio wachungaji tu, mapadri pia wanazini na kuzaa watoto kibao...
sio mapadri na wachungaji tu, mashehe nao wanafanya maovu mengi...wanazini, wanaua, wanafuga majini wanakuwa waganga wa kienyeji etc...izo zote ni dhambi usihesabu dhambi moja tu...
sasa unachotakiwa kuelewa kwenye akili yako ni kwamba, mwanadamu yoyote kuna wakati anaweza kuwa mcha Mungu, lakini pia kwasababu shetani huwa anatafuta watu awaangushe, kama mwanadamu huyo hatakaa vizuri anaweza kutenda maovu kama kawaida hata kama ni mchungaji au padri au mtu yeyote yule...sasa kinachotokea ni kwa watu wa akili yako wanaochukulia mwanadamu mwenzao aliyeteleza hadi kuanguka kuwa ni ajabu kweli,
kumbe wewe ngoshwe hapo unaweza kuwa unazini kila siku, unalawiti na kufanya uchafu wote,...lakini mwanadamu mwenzio akifanya hivyo tayari unakashifu na imani nzima..
kinachokufanya uandikwe kwa malice ya kukashifu imani nzima ni nini? hakuna malaika, mtu yeyote kama hajakaa vizuri na MUNGU wake anaweza kutenda dhambi...na huyo mchungaji ni mmoja wapo wa watu ambao hawakukaa vizuri na Mungu...ndo maana wakafanya dhambi hiyo...na huyo si wa kwanza na wala si wa mwisho kwasababu shetani hajafa....kwanza hii issue ya kenya ilishajadiliwa hadi ikachoka, kisumu pastor hii si ngeni...huyo ni mmoja tu, mapadri na mashehe wanaozini huko na hawaongelewi ni wengi kuliko huyu mmoja.
sisapoti alichofanya uyo pastor, lakini
napenda kuwaambia kuwa, wachungaji si malaika..wanaweza kufanya kosa kama wewe kwasababu shetani anapigana nao usiku na mchana na wakiwa legelege...shetani anawadondosha na kuwaaibisha..LAKINI HIYO HAIMAANISHI KUWA WALE WANAOIFUATA IMANI YA KWELI WAMEPOTEA..HUYO NI MCHUNGAJI MMOJA TU na amedondoka kivyake, wengine wasiodondoka wanaendelea na Mungu wao kama kawaida...na tunazidi kusonga mbele....na wewe ngoshwe kama uko sawa uwe wa kwanza kurusha jiwe hapo...