Masquarrader
Member
- Aug 17, 2018
- 62
- 38
- Thread starter
-
- #21
Tamaa za kijinga naskia demu mwenyewe mbovu sana na alikuwa anajiuza huko nyuma ameachishwa kujiuza na mchungaji akaamua kuanza kula mwenyewe. Balaaa kabisaMchungaji anatafuna kondoo wake mbaka anasahau familia, safi kabisa.
Daaah jamaa anaishi vizuri sanaaa.Jamaa inaelezwa kawachapa wengi sana pale church kwake ila kwa huyo binti kazidiwa hadi waumini wote wanafaham
Hapo lile UNO aliloimba harmonize limehusika.Tamaa za kijinga naskia demu mwenyewe mbovu sana na alikuwa anajiuza huko nyuma ameachishwa kujiuza na mchungaji akaamua kuanza kula mwenyewe. Balaaa kabisa
Shemasi kazidiwa na utamu wa viuno😅Ila kuna wanawake Mungu anawaona aki vile,..looh!!!
Basi mkulane kimya kimya,..hadi ratiba ya kumuabudu Mungu anavuruga??kweli shemasi,kha!!
Ni mchungaji ndio kazidiwa na uno sio shemasi😅Shemasi kazidiwa na utamu wa viuno😅
Huyo Dada amepewa kacheo hako na mchungaji wakeBadilisheni kichwa cha habari hapo juu Shemasi ni mtu mwingine kabisa na kilichozungumziwa ndani.