Mapand
Senior Member
- Nov 9, 2022
- 134
- 202
Habari wakuu...Katika hali ambayo kwa upande wangu nimeiona siyo ya kawaida Askofu mstaafu wa kanisa la Tanzania assemblies of God(TAG) Mch.Glorious shoo ameiomba serikali kuwazuia wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro kutoendelea na uzalishaji wa pombe za asili na badala yake mazao yanayotumika kuzalisha pombe hizo yahifadhiwe kwaajili ya chakula kutokana na ukame uliopo hivi sasa nchini.
Source: Mwananchi digital.
Kwa upande wangu naona askofu angeishauri serikali au wananchi namna nyingine itakayowafanya wananchi wa mkoa huo kuwa na uhakika wa chakula cha uhakika muda wote ila siyo kuiomba serikali kuwazuia wananchi kuzalisha pombe hizo kwasababu kuu hizi tatu;
1. Pombe ni sehemu ya kujiingizia kipato kwa mtengenezaji na kwa mnunuaji(kwa maana ya muuzaji wa pombe husika).
2. Pombe za asili huuzwa kwa bei nafuu ukilinganisha na pombe nyingine zote,hivyo matumizi ya pombe za asili zinaleta ahueni ya maisha kwa sisi watumiaji na wananchi wa hali ya kawaida.
3. Pombe za asili pia zimekuwa sehemu ya ajira kwa watu wengi kama ilivyo kwenye makampuni mengine yanayozalisha pombe za kisasa.