GE2025 Mchungaji akiomba kwenye kampeni asema 'Yanayotabiriwa mitandaoni yawe ya kweli au si ya kweli, Tumuachie Mungu'

GE2025 Mchungaji akiomba kwenye kampeni asema 'Yanayotabiriwa mitandaoni yawe ya kweli au si ya kweli, Tumuachie Mungu'

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
"Kama kuna wakati ambao tunamhitaji Mungu kuliko wakati mwingine katika nchi yetu ni sasa, kila mmoja anajua, awe amesoma, awe hajasoma, awe ni kiongozi au siyo kiongozi...yanayoendelea katika mitandao tunayaona, Mungu pekee ndiye anayeweza kulisaidia taifa la Tanzania sasa hivi", - Mch. Innocent.

Mchungaji Innocent Mallya wa Tanzania Assemblies of God (TAG) Mbinga mkoani Ruvuma akizungumza kabla ya kufanya maombi ya ufunguzi wa mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi mkuu wa mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan, siku ya Jumapili.

 
MUNGU ana mambo mengi ya kufanya Watu wa Gaza na Sudani na Congo aje kuangaika na sisi ambao hatujaonyesha jitihada zozote za kujipambania ukitoa Lissu kua jela mambo mengine ni sisi kuamua
 
Samia na genge la CCM wapigaji ujumbe mmeupata?
 
Back
Top Bottom