Mchungaji aliyedai kuvunjiwa Kanisa Zanzibar afunguka. Serikali yatangaza kumsaka, yasema ni nyumba siyo Kanisa

Pamoja na kujikosha huyo mkuu wa wilaya ,lakini alipaswa kwanza kufanya ufuatiliaji na tathmini kabla ya kubomoa
 
Kama unakereka njoo bara uungane na wakristo wenzio. Hiyo ni nchi ya kiisilamu na wakazi wa huko asilimia zaidi ya 90% ni waisilamu, makafiri ni wachache sana. Na hicho kilichotokea hakuna ushahidi wowote kama ni waisilamu waliobomoa.
 
Naona unapingana nakatiba..chuki na roho mbaya kwa kanisa haziwezi kukusaidia kitu..ukiristo ni imani ya dunia..ni kama maji usipo yanywa utayaoga..kila unalogusa ni mkono wa wakristo..

#MaendeleoHayanaChama
 
Siasa tu, huyo mchungaji na yeye awe na hekima, auze atafute kwingine, wanaletaga ukaidi mwishowe wanauliwa humo ndani
 
Siasa tu, huyo mchungaji na yeye awe na hekima, auze atafute kwingine, wanaletaga ukaidi mwishowe wanauliwa humo ndani
Unabariki kilichofanyika..chini ya nchi yenye uhuru wa kuabudu kikatiba..kwanini hao wanahatarisha maisha na uhuru wa kuabudu wasishughulikiwe kwa mkono wa sheria inayolimda uhuru wa kuabudu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ningekua mkubwa wa nchi ningefutilia mbali makelele ya adhana na yale ya walokole kutumia maspika. Bladfaken wote!
 
We Jamaa utamuua huyo Mtu, maana naona unampatia chembe za uso hadi anajuta kwanini alikunukuu kwa vihoja uchwara vyake [emoji28]
 
Waislamu kama ninyi ndiyo mnatakiwa sasa, na ndiyo Rafiki zangu sana tena huwa tunasaidiana mengi mno kimaisha kuliko hao waislamu majina wasiokuwa na hata chembe za upendo na utu.
 
Anajitetea tuu huyo mkuu wa wilaya. Anadhani watu wote wana upeo mfupi wa kung'amua mambo kama yeye na kundi lake lililobomoa hilo kanisa. Kwaza tokea lini nyumba zikavunjwa eti kisa umepata utabiri wa hali ya hewa?
Na za pembeni yake nazo zimevunjwa? Zilizo oposite nayo je? Na za nyuma yake je?
 
Halafu kwenye process nzima ya kuvunja nyumba/kanisa, HAKUNA NOTICE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…