Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Utabiri umeonyesha nyumba hiyo #MOJA_TU ipo HATARINI kutokana na hali ya HAWA. @#$&@#$&?!@%%Nyumba ya mtu ni ruksa kuivunja?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utabiri umeonyesha nyumba hiyo #MOJA_TU ipo HATARINI kutokana na hali ya HAWA. @#$&@#$&?!@%%Nyumba ya mtu ni ruksa kuivunja?
Ukweli tuuseme tu, hata kama unatuuma.
Suala la uvumilivu wa kiimani kwa Zanzibar uko chini sana. Kujenga kanisa huwa kunawakera na kuwaudhi mnoo watu waliopo Zanzibar. Makanisa yanayoheshimiwa ni yale ya kihistoria ambayo yanafanya watalii waje, tofauti na hapo yangekuwa yameshavunjwa siku nyingi.
Kwa Zanzibar malaya, mashoga na mateja wana thamani kubwa kuliko muumini wa Kikristo mwenye msimamo.
Inasikitisha sana.
Naona unapingana nakatiba..chuki na roho mbaya kwa kanisa haziwezi kukusaidia kitu..ukiristo ni imani ya dunia..ni kama maji usipo yanywa utayaoga..kila unalogusa ni mkono wa wakristo..Kama unakereka njoo bara uungane na wakristo wenzio. Hiyo ni nchi ya kiisilamu na wakazi wa huko asilimia zaidi ya 90% ni waisilamu, makafiri ni wachache sana. Na hicho kilichotokea hakuna ushahidi wowote kama ni waisilamu waliobomoa.
Siku chache tangu kuripotiwa kwa taarifa za kuvunjwa kwa Kanisa la T.A.G lililopo Sebleni, Unguja ripoti kamili ya kilichotokea imetolewa kutoka upande wa kanisa pamoja na upande wa Serikali ya Zanzibar.
Mchungaji wa kanisa hilo linaloelezwa kuwa limevunjwa, David Victor Suna amefunguka kilichotokea kwa kusema:
MCHUNGAJI AFUNGUKA
“Ni kweli wamevunja nyumba yetu ya ibada licha ya kutambua kuwa tuna uhalali wa kila kitu, na suala hilo kwa sasa lipo kwa wanasheria wetu wanalishughulikia.
“Eneo hilo nilinunua kihalali kabisa kwa Sh milioni 16 na wakati nanunua nilikuta kuna banda ambalo lilikuwa shemu ya mauzo ya kiwanja, nilichofanya nikaboresha kwa kujenga ukuta.
“Lakini baada ya kuanza kuwa tunasali, nikapata malalamiko kuwa wakazi wa hapo hawataki kanisa, wakawa wanakuja viongozi kadhaa wa Serikali kukagua wakiniambia malalamiko ya uwepo wa kanisa letu mahali hapo.
“Kwanza waliniambia nimejenga ukuta kimakosa, kwa kuwa sina kibali cha kujenga ukuta, nikawaambia sawa hilo nakiri kwa kuwa sikuwa najua kama ukta unahitaji kibali, nikawaambia nitafuata mchakato wa kupata kibali kwa mamlaka husika.
“Baada ya mvutano wa muda mrefu nilienda hadi kwa Mkuu wa Wilaya akaniambia kama kama ninataka kibali cha nyumba ya makazi ya kawaida nitapata lakini kama ni kuhusu kanisa hapo siyo sehemu sahihi na hawatanipa kibali kwa kuwa wakazi wa eneo hilo hawataki kanisa.
“Siku hiyo ndiyo nikashangaa wamekuja wakavunja kwa kutumia mgongo wa Manispaa. Viongozi wetu wakuu akiwemo Askofu Mkuu amesema niwe kimya, nisifanye chochote kwa sasa, wao ndiyo watakaotoa tamko kwa kuwa suala letu limefika ngazi ya kitafa.
“Mimi ni mkazi wa Unguja miaka mingi, najua wanachofanya ni kitu ambacho wanakifanya muda mrefu, kuna upande ambao unakuwa una nguvu kubwa kiimani kuliko mwingine.
“Mimi kwa sasa nipo kimya, hata kule walipofunja siendi kwa kuwa sitaki matatizo, sijafanyiwa fujo zaidi ya siku ile ambayo walivunja, lakini mpaka sasa (Machi 11, 2022) sijapata tatizo lolote.”
TAMKO LA SERIKALI, LAMSAKA MCHUNGAJI
Mkuu wa Wilaya wa Mjini Magharibi kisiwani Unguja, Rashid Msaraka amezungumza na waandishi wa habari leo Machi 11, 2022 baada ya kufika eneo la tukio.
“Mamlaka zinazohusiana na utabiri wa hali ya hewa, zimetoa tathmini yao kuhusu mvua zinazotarajiwa kunyesha hivi karibuni, nikatoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa Manispaa kuwa na tahadhari ya maeneo hatarishi, moja kati ya maeneo hayo ni hiyo iliyobomolewa.
“Nyumba mojawapo iliyobomolewa ni nyumba ya kawaida lakini taarifa inayosambaa ni kanisa, hapana mimi sina kibali cha kujengwa kwa kanisa.
“Hivyo, imevunjwa kwa kuwa ni sehemu ya nyumba zilizokuwa hatarishi, tunaweka mazingira sawa, siyo hapa tu bali ni maeneo yote.
“Yote yanayoendelea mitandaoni kuwa kuna maandalizi ya vita ya Waislamu dhidi ya Wakristo siyo kweli.
“Katika taarifa zinazosambaa kuna mtu anaitwa David Suna, sijui kama ni kiongozi wa kawaida au kiongozi wa dini, hatumfahamu, nimempa maelekezo Kamanda OCD kumtafuta huyo Daudi Suna ili kutoa maelezo ya kinachoendelea mitandaoni.
“Sisi tumemwambia ODC hiyo clip inayosambaza ni mbaya na ni ya uchochezi.
“Kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kila mtu ana haki ya kuambudu lakini lazima kuwe na utaratibu.
“Nasisitiza kuwa hapakuwa na kanisa, kulikuwa na nyumba za kuishi. Tunatoa taarifa kuwa hakuna rabsha yoyote.
“Tumewaambia wale ambao wanaona hawajatendewa haki basi waje watuambie lakini hakuna mtu hata mmoja aliyejitokeza.
“Tutahakikisha tunawalinda raia wote bila kuwa na ubaguzi, usalama wa raia wa kila mtu ni muhimu. Zanzibar ni sehemu ambayo ina historia ya kuw ana makanisa tangu enzi na enzi, hatutamvumilia mtu au watu ambao watakuwa wanania ya kuharibu taswira ya Serikali ya Zanzibar.”
Pia Soma~~ Zanzibar: Kanisa la T.A.G pamoja na makazi ya Mchungaji wake Daudi Suna, yamebomolewa na wanaodaiwa ni wakazi wa eneo hilo
Unabariki kilichofanyika..chini ya nchi yenye uhuru wa kuabudu kikatiba..kwanini hao wanahatarisha maisha na uhuru wa kuabudu wasishughulikiwe kwa mkono wa sheria inayolimda uhuru wa kuabudu.Siasa tu, huyo mchungaji na yeye awe na hekima, auze atafute kwingine, wanaletaga ukaidi mwishowe wanauliwa humo ndani
Wanaposema Rais ametoa Bilioni 5 kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa maji ni zake binafsi au ni kodi za WatanzaniaMchungaji nilinunua kiwanja milion 16 Sasa kanisa ndo lilinunua au yeye
Hahaaa..kaa kutulia mapepo hayo your possessed.Ningekua mkubwa wa nchi ningefutilia mbali makelele ya adhana na yale ya walokole kutumia maspika. Bladfaken wote!
We Jamaa utamuua huyo Mtu, maana naona unampatia chembe za uso hadi anajuta kwanini alikunukuu kwa vihoja uchwara vyake [emoji28]Niko Zanzibar na naijua Zanzibar vizuri.
Kwanza wewe jua tu, wazanzibar karibu wote kihistoria ni wahamiaji, wapo waliotoka bara na wapo waliotoka nchi za mbali na visiwa vya jirani.
Pili dini karibu zote zilizopo hapa Zanzibar zimeletwa kutoka mbali (sio dini za asili za wazinzibar), uislamu uliletwa na waarabu na ukristo uliletwa na wazungu huenda hata kabla ya hizo dini kufika Tanganyika, dini za asili hapa Zanzibar ni zile za jadi na mpaka leo zipo!
Sasa jiulize tu, eneo la Zanzibar lenye ukubwa sawa na wilaya Sengerema, lenye 99% ya waumini wa dini ya kiislamu inawezekanaje haya kuwepo;
-Kuna zaidi ya bar 30 zenye kuuza pombe 24hours
-Kuna mahoteli na migahawa zaidi ya 5 yenye kuuza kiti moto 24hours
-Kuna utitiri wa makahaba kila mtaa
-Kuna mashoga kila mtaa
-Kuna utiriri wa mateja na wauza ngada kila mtaa.
-Kuna guest bubu na madanguro ya kienyeji karibu kila mtaa.
Jamani tusiuhusishe uislamu na vitu vya ajabu, uislamu sio utamaduni wa kiarabu na mila za watu wa pwani, uislamu ni imani halisi inayohubiri Amani na Ibada, muislamu halisi hawezi kumchukia mtu mwingine anayeabudu imani zingine.
Scaring of faith competition and believers attractiveness [emoji1787]Kwani wakijenga shida ipo wapi? Kwa hiyo waislamu hawatakiwi kujenga misikiti nchi zenye wakristo wengi?
Kuna dini ya flani haifundishi upendo badala ya visasi ndipo penye shida hapoWanadamu wangefahamu kuwa amri kuu kuliko zote ni upendo wasingegawanywa na dini.
Waislamu kama ninyi ndiyo mnatakiwa sasa, na ndiyo Rafiki zangu sana tena huwa tunasaidiana mengi mno kimaisha kuliko hao waislamu majina wasiokuwa na hata chembe za upendo na utu.Uhatarishi wake ni upi mbona haujatajwa ? Kusema tu kwamba hatarishi haitoshi lazima ibainishwe huo uhatarishi ni upi ?
Ukishatajwa huo uhatarishi tunarudi sasa kwenye sheria je sheria inaelekeza kwwmba nyumba ikiwa na uhatarishi wa aina fulani ivunjwe ?
Na za pembeni yake nazo zimevunjwa? Zilizo oposite nayo je? Na za nyuma yake je?Anajitetea tuu huyo mkuu wa wilaya. Anadhani watu wote wana upeo mfupi wa kung'amua mambo kama yeye na kundi lake lililobomoa hilo kanisa. Kwaza tokea lini nyumba zikavunjwa eti kisa umepata utabiri wa hali ya hewa?
Jino kwa jino ndo shida..Kuna dini ya flani haifundishi upendo badala ya visasi ndipo penye shida hapo
Halafu kwenye process nzima ya kuvunja nyumba/kanisa, HAKUNA NOTICE?Uhatarishi wake ni upi mbona haujatajwa ? Kusema tu kwamba hatarishi haitoshi lazima ibainishwe huo uhatarishi ni upi ?
Ukishatajwa huo uhatarishi tunarudi sasa kwenye sheria je sheria inaelekeza kwwmba nyumba ikiwa na uhatarishi wa aina fulani ivunjwe ?