Mchungaji aliyedai kuvunjiwa Kanisa Zanzibar afunguka. Serikali yatangaza kumsaka, yasema ni nyumba siyo Kanisa

Zanzibar mpaka ndani ya ofisi za serekali kuna misikiti na siyo tatizo, tatizo ni kanisa kujengwa Zanzibar na mtanganyika kumiliki ardhi Zanzibar.
 
Sawa ni wahamiaji kwani hawaingii katika idadi ya wazanzibari wakaazi kwa wale ambao wana zaidi ya miaka mi5 ?

utambulisho wa mzanzibar hauhusiani na ukaazi. Hapa tunazungumzia uzanzibari na sio ukaazi. hivo ni vitu viwili tofauti.
 
alivunjiwa kwasababu eneo ni hatarishi, alipewa fidia, au mlishirikiana naye vipi kuhusu haki zake, au kwasababu ni mkristo?
 

Zanzibar ni nchi ya kiislamu, kwahiyo uhuru huo unaozungumzia huwa una mipaka mkuu. NI tofauti kabisa na Bara
 
Kuna maeneo Bara wakazi woote ni wakristo, ila msikiti ukijengwa hapo wenyeji hawajali. Unawashauri nini wakazi kama hao?

Kama ulivyosema ni Maeneo na sio nchi, Zanzibar ni nchi. Kwahiyo hapo ni vitu viwili tafauti mkuu.
 
Zanzibar ni nchi ya kiislamu, kwahiyo uhuru huo unaozungumzia huwa una mipaka mkuu. NI tofauti kabisa na Bara
Ebu tuambie serikali imesema hivyo kwa katiba gani?au unajikosha tu humu...na kuleta propaganda za kijinga.

#MaendeleoHayanaChama
 

Hivi wewe ukienda kanisa linaloongea kikorea utafahamu kitu ?
 
Kwa akili zako ndefu unaona nyie huwa hampigi kelele?


Au kwa vile tunawavumilia tu mnaona mko Sawa?
Si muondoke Tu wavamizi mkajenge makanisa mpaka vyooni huko kwenu Tanganyika , ?
 
Ebu tuambie serikali imesema hivyo kwa katiba gani?au unajikosha tu humu...na kuleta propaganda za kijinga.

#MaendeleoHayanaChama

Hivi tangu lini serikali ya CCM ilifuata katiba?
 
Kwani waislamu wao hawapigi kelele au saa kumi na moja ni jogoo la shamba linawikaga?
 
Hawa jamaa wakiwa majority wanakua miyeyusho sana kwa wanachofanyiwa china au myamar ni sawa kwa kua wao niwachache ?
 
Siongei na sheria naongea na wewe hapa mkuu.

Nakuuliza wewe mzanzibar ni nani ?

Hizo sheria zimetungwa baada uvamizi. Wazanzibari tunajuana vizuri Na Hao wakristo wanajulikana. Haya makanisa ya uyoga yanakuja kuleta fujo Tu.
Kuna video ya mchungaji aliyesilimu anaeleza vizuri malengo yao naitafuta nikuwekee
 
Na moja ya mafunzo ni kuvunja vitu / kuharibu au kukataza watu wasio sawa na wewe ?

Basi hizo Imani hazifai na bora zisiwepo sababu huko ni kuwa barbaric...

Sio kwamba nawatetea hawa ila mimi ni muumini wa kila mtu kuamini anachokiamini bila kuwa bughudha kwa wengine, nashauri na huko tunakoenda hizi nyumba nyingine za kuabudu ziwekewe soundproof na zile speaker kwa anayetaka kusikia apewe headphone iwe connected na bluetooth..., yaani kila mtu apate kila anachotaka kwa faida yake..., Au kama vipi sehemu za Taasisi kama hizi zisiingie kwenye makazi ya watu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…