Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yale makanisa yaliyopo pale kwa mchina mwisho Wasabato, Karibu na jumbi Roman Catholic ukienda mfenesini kuna lingine mpaka kule shamba karibu na jku sijui kanisa gani yale mbona hayavunjwi na wasabato wameongeza eneo kwa kununua nyumba HOW?.Ukweli tuuseme tu, hata kama unatuuma.
Suala la uvumilivu wa kiimani kwa Zanzibar uko chini sana. Kujenga kanisa huwa kunawakera na kuwaudhi mnoo watu waliopo Zanzibar. Makanisa yanayoheshimiwa ni yale ya kihistoria ambayo yanafanya watalii waje, tofauti na hapo yangekuwa yameshavunjwa siku nyingi.
Kwa Zanzibar malaya, mashoga na mateja wana thamani kubwa kuliko muumini wa Kikristo mwenye msimamo.
So, what is your point here na tushike lipi hasa...?Mkuu Zanzibar ni nchi ya kiislamu, 99% ya watu wake ni waislamu, kwahiyo hakuna cha ajabu kuwa na mifumo ya kiislamu kwenye maisha yao, ni tofauti na Bara ambapo uwiano wa dini hizi mbili ni mkubwa nearly 50 - 50, So cha muhimu ni kufahmu kuwa haiwezekani mazingira ya Zanzibar yakawa sawa na Bara. Tujaribu kulitathmini kwa uandani na sio kuishabiki. Tatizo kuu la Zanzibar ni suala la Makanisa kuwa yanaengezeka kwa kasi kila siku zinavyokwenda, Na hilo linawafanya wananchi wao wengi kuwa insecure. Nchi nyingi ambazo ziko dominated na dini moja kwa zaidi ya 90% ni lazima watu wa dini nyengine wata experience mambo kama hayo, na hasa wakiwa Wageni.
Hilo ni jembe wiki iloppita aliwapandisha watanganyika meli na kuwarejesha kwao mkuu wa wilaya oyeee!Mkuu wa wilaya ni jipu
Mkuu.... Sisi kuswali na kutumia spika wewe inakuumiza nini? Makelele ninyi hamna mnapopiga kengele ? Kama hupendi adhana una matatizo binafsi. Wengine inawasaidia hata kuamka kwenda kazini asubuhi na usiku pia kujua muda wa kula.acha chuki binafsi. Heshimu dini za wenzioHao wakazi wapo sahihi. Kwa tabia yenu ya makelele mkiruhusiwa tu basi kisiwa chote mtakimeza kwa makelele yenu.
We jamaa vipi badala unatumia akili mbovu sana kuhalalisha huu unyama wa mkuu wa wilaya. Kila mtu ana uhuru wa Kuabudu aisee kinyume na hapo ni uvunjaji wa katiba. Mama Samia kamata mkuu wa wilaya na hiyo manispaa tumeanza kurudi tukipotoka miaka ya kikweteMkuu Zanzibar ni nchi ya kiislamu, 99% ya watu wake ni waislamu, kwahiyo hakuna cha ajabu kuwa na mifumo ya kiislamu kwenye maisha yao, ni tofauti na Bara ambapo uwiano wa dini hizi mbili ni mkubwa nearly 50 - 50, So cha muhimu ni kufahmu kuwa haiwezekani mazingira ya Zanzibar yakawa sawa na Bara. Tujaribu kulitathmini kwa uandani na sio kuishabiki. Tatizo kuu la Zanzibar ni suala la Makanisa kuwa yanaengezeka kwa kasi kila siku zinavyokwenda, Na hilo linawafanya wananchi wao wengi kuwa insecure. Nchi nyingi ambazo ziko dominated na dini moja kwa zaidi ya 90% ni lazima watu wa dini nyengine wata experience mambo kama hayo, na hasa wakiwa Wageni.
Hiki ndicho DC alipaswa kuzungumza!Mkuu Zanzibar ni nchi ya kiislamu, 99% ya watu wake ni waislamu, kwahiyo hakuna cha ajabu kuwa na mifumo ya kiislamu kwenye maisha yao, ni tofauti na Bara ambapo uwiano wa dini hizi mbili ni mkubwa nearly 50 - 50, So cha muhimu ni kufahmu kuwa haiwezekani mazingira ya Zanzibar yakawa sawa na Bara. Tujaribu kulitathmini kwa uandani na sio kuishabiki. Tatizo kuu la Zanzibar ni suala la Makanisa kuwa yanaengezeka kwa kasi kila siku zinavyokwenda, Na hilo linawafanya wananchi wao wengi kuwa insecure. Nchi nyingi ambazo ziko dominated na dini moja kwa zaidi ya 90% ni lazima watu wa dini nyengine wata experience mambo kama hayo, na hasa wakiwa Wageni.
Sawasawa uende Mogadishu ukajenge kanisa unategemea nini? au uende Roma ukajenge msikiti. ndio maana ukienda UK misikiti mingi sababu nchi ina waislamu wengi lakini huwezi kukuta hiyo hali mfano Warsaw sababu hakuna dini nyingine pale. Tuache chokochoko mbona huku kwetu ardhi kubwa kuna makanisa, ma temple ya wahindi, misikiti mpaka kuna watu wanatokea kujiita miungu na makanisa yao na lilivunjwa sababu yako mambo yanavuka mipaka, Umetoka maelezo yanajitosheleza 100% ambaya hatakuelewa basi anayake.Mkuu Zanzibar ni nchi ya kiislamu, 99% ya watu wake ni waislamu, kwahiyo hakuna cha ajabu kuwa na mifumo ya kiislamu kwenye maisha yao, ni tofauti na Bara ambapo uwiano wa dini hizi mbili ni mkubwa nearly 50 - 50, So cha muhimu ni kufahmu kuwa haiwezekani mazingira ya Zanzibar yakawa sawa na Bara. Tujaribu kulitathmini kwa uandani na sio kuishabiki. Tatizo kuu la Zanzibar ni suala la Makanisa kuwa yanaengezeka kwa kasi kila siku zinavyokwenda, Na hilo linawafanya wananchi wao wengi kuwa insecure. Nchi nyingi ambazo ziko dominated na dini moja kwa zaidi ya 90% ni lazima watu wa dini nyengine wata experience mambo kama hayo, na hasa wakiwa Wageni.
Kiongozi Leo nimekuelewaUkweli tuuseme tu, hata kama unatuuma.
Suala la uvumilivu wa kiimani kwa Zanzibar uko chini sana. Kujenga kanisa huwa kunawakera na kuwaudhi mnoo watu waliopo Zanzibar. Makanisa yanayoheshimiwa ni yale ya kihistoria ambayo yanafanya watalii waje, tofauti na hapo yangekuwa yameshavunjwa siku nyingi.
Kwa Zanzibar malaya, mashoga na mateja wana thamani kubwa kuliko muumini wa Kikristo mwenye msimamo.
Kama sheria inakataza basi imekaa kibaguzi.halafu jamaa ajiongeze atafute mtu auze iyo sehemu aache upimbi sheria ya ardhi mtu wa bara haruhusiwi kumilili ardhi zanzibar nashangaa linajifanya halijui atalikosa eneo na pesa pia kwa upimbi wake.
ndo.sheria walizoziweka katika jamhuri ya muungano yani ajitaidi auze tu akajenge kanisa kwao kule wabongo hatuna ruhusa ya kumiliki ardhi
Kuna maeneo Bara wakazi woote ni wakristo, ila msikiti ukijengwa hapo wenyeji hawajali. Unawashauri nini wakazi kama hao?Mkuu Zanzibar ni nchi ya kiislamu, 99% ya watu wake ni waislamu, kwahiyo hakuna cha ajabu kuwa na mifumo ya kiislamu kwenye maisha yao, ni tofauti na Bara ambapo uwiano wa dini hizi mbili ni mkubwa nearly 50 - 50, So cha muhimu ni kufahmu kuwa haiwezekani mazingira ya Zanzibar yakawa sawa na Bara. Tujaribu kulitathmini kwa uandani na sio kuishabiki. Tatizo kuu la Zanzibar ni suala la Makanisa kuwa yanaengezeka kwa kasi kila siku zinavyokwenda, Na hilo linawafanya wananchi wao wengi kuwa insecure. Nchi nyingi ambazo ziko dominated na dini moja kwa zaidi ya 90% ni lazima watu wa dini nyengine wata experience mambo kama hayo, na hasa wakiwa Wageni.
Hujawaona hao wanaolia kuwa ndio wateja? Kwa taarifa yako hata angekuwa mtu mmoja anastahili kuwa na kanisa lake mahali lake pa kusaliKuna watu wengine ni wakorofi tu of all places kwanini ujenge kanisa Zazibar? ambao hamna wateje? 99% ni dini moja ya kiislamu? Ni yale yale ya kuweka bucha ya kitimoto karibu na mskiti wakati kuna sehemu zingine kwa kisingizio xha uhuru wa mtu kufanya biashara popote.
Mkuu jaribu kujifunza mambo mengi na kuyaelewa utanishukuru.Kuna watu wengine ni wakorofi tu of all places kwanini ujenge kanisa Zazibar? ambao hamna wateje? 99% ni dini moja ya kiislamu? Ni yale yale ya kuweka bucha ya kitimoto karibu na mskiti wakati kuna sehemu zingine kwa kisingizio xha uhuru wa mtu kufanya biashara popote.
Kwa hiyo hao 1% waache kusali wageukie upagani?Kuna watu wengine ni wakorofi tu of all places kwanini ujenge kanisa Zazibar? ambao hamna wateje? 99% ni dini moja ya kiislamu? Ni yale yale ya kuweka bucha ya kitimoto karibu na mskiti wakati kuna sehemu zingine kwa kisingizio xha uhuru wa mtu kufanya biashara popote.