a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
Wote mnakaribushwa ,Mchungaji Amieli Katekela atahudumu
Mzee wa kanumbawote mnakaribushwa ,Mchungaji Amieli Katekela atahudumu
Atauza maji au mafuta?
Karibu sana mtu wa thamani sana mbele za Mungu,Ni wa wapi Uyu? Nitaenda.
watu wa Dodoma hamjasahaulika mwalimu LUGANO NDILE anahudumu kuanzia JUNE tarehe 21 mapaka june 28