Mchungaji anaswa akimtomasa muumini wake(video)

Mchungaji anaswa akimtomasa muumini wake(video)

Mazee mlongo wa kwenda peponi ni mgumu sana hasa kwa mabinti.
 
Hii video niliona mchana kama kweli ila mbona walioupload ni Nollywood?
 
Kama movie hivi, au nyie mwaonaje?
..hata mie nimeona hivyoo..
yaani yule mwanamke nae sijuo vipi hata haoini maombi gani yake jamani.mhh
..tena juu ya meza..
wanasema ile camera ilikuwa imetegeshwa bila ya mchungaji kujua.
..mbn pale sio kanisani..?..inaoneka ni set up..?.."mtazamo" wangu..
Hii video niliona mchana kama kweli ila mbona walioupload ni Nollywood?
hata mimi naona hivyoo
Anamtoa mapepo
..duh mapepo kwenye NYONYO..?
 
anamuingiza upako mwilini mwake jamani acheni majungu.
cc. @FP
 
..hata mie nimeona hivyoo..

..tena juu ya meza..

..mbn pale sio kanisani..?..inaoneka ni set up..?.."mtazamo" wangu..

hata mimi naona hivyoo

..duh mapepo kwenye NYONYO..?
Huyu pastor inaonekana huu ulikuwa ni mchezo wake.
 
Back
Top Bottom